4th &5thMbona nikiichek whatsapp hii namba sikupati Mkuu, 0765311077
Nitavumilia tuu mimi jamaniiiHuku kuna kupigwa na kupiga ela, kimya kimya we utaweza?
Mkuu chemba ya niniPoa mkuu nimemwambia aje chemba nimwelekeze.
Mkuu hapa kuna wachawi hawakawii kuleta figisufigusu ili kampuny zao ndo zibaki sokon kimbuka walivyobani mobile payment ikaja kqmpuny mbadala kwa opt zilezile nayo wakaihujumuMkuu chemba ya nini
Mwaga maujuzi hapa
Poa mkuu nimemwambia aje chemba nimwelekeze.
Kaka nawezaje kutoa pesa zangu kwa 1xbetmdogomdogo
niliacha kutumia hiyo tangu walipotoa mobile payments...ila kuna wadau watakusaidia humuKaka nawezaje kutoa pesa zangu kwa 1xbet
Kwa uelewa wangu kupitia hapa ni kuwa,Kaka nawezaje kutoa pesa zangu kwa 1xbet
MAXBBorussia Dortmund – Schalke 04
Your Pick: Borussia Dortmund
Hannover – Mainz
Your Pick: OVER 1.50
Eintracht Frankfurt – Hertha BSC
Your Pick: OVER 2.50
RB Leipzig – SC Freiburg
Your Pick: RB Leipzig
B 93 Copenhagen – Middelfart
Both Teams To Score
TOTAL ODDS: 5+(
Je wewe si mgonjwa wa preshaNitavumilia tuu mimi jamaniii
Ki ukweli tuache kuchambua kishabiki wadau, hivi kuna watu kabisa leo walidiriki kumuamini madrid uyu na kumpa direct win?Madrid anacheza na Getafe aliyeoko home alafu hao Getafe wako wa moto na wanakaribia kuingia top4 wacheze CL unaanzanje kumpa madrid uyu asiyejielewa direct win?Mi nilicheza 1X. Nilijua better option ni X2Madrid kadroo nyoko zake