Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Atletico Madrid v Real Villadolid
Player to score a goal at any time
Nikola Kalinic-NO
Odds 1.46

Watford v Wolves
2Half Over 0.5
Odds 1.3

Southampton v Bounermouth
Soton Handicap 2-0
1.056

Total Odds 2.0043
 
IMG_20190427_164754_194.jpg
IMG_20190427_164825_099.jpg
 
Siku ya leo si nzuri spurs kahalibu mapema na katia nuksi kote
Tangu nijue kucheza na akili za hawa bookmakers wala sipati tabu..siku Kama ya Leo kuna game kibao sihangaiki na game maarufu sababu najua ndio zinazowalipa..Sasa fikiria Totenham hata droo imewashinda..over 1.5 pia imegoma..presha yote ya nini na kuna game kibao.
 
Back
Top Bottom