Hapo crossbar ndio nini?
Hapo crossbar ndio nini?
Poa mkuu mapambano........Mkuu thanks nimefanikiwa ku deposit
Nakula mema ya nchi Sio kampuni za bongo ukiingia live unakutana na option ya magoli View attachment 1082484View attachment 1082485
Mkuu natumia bitcoins ila nataka ni draw mpunga wote kisha nianze na njia mpyaMkuu umefanikiwa hongera
Mi nilivyoona wamefungwa fasta nikafanya recovery ya stakeWapumbavu kweli kweli
Mkuu vip makato kwenye kudepsit ni stahimulifu au ni makubwa? Nipe mfanoMkuu thanks nimefanikiwa ku deposit
Nakula mema ya nchi Sio kampuni za bongo ukiingia live unakutana na option ya magoli View attachment 1082484View attachment 1082485
Tangu nijue kucheza na akili za hawa bookmakers wala sipati tabu..siku Kama ya Leo kuna game kibao sihangaiki na game maarufu sababu najua ndio zinazowalipa..Sasa fikiria Totenham hata droo imewashinda..over 1.5 pia imegoma..presha yote ya nini na kuna game kibao.Siku ya leo si nzuri spurs kahalibu mapema na katia nuksi kote
Hiyo ndio game ya hela chief..tia mzigo..Jana waydad si uliona walivyocheua mapene..Mazembe haponi..Leo Esperance Tunis anaweza kumfua Mazembe kweli?
Nataka nitie laki... Esperance wamepewa odd ya 1.7Hiyo ndio game ya hela chief..tia mzigo..Jana waydad si uliona walivyocheua mapene..Mazembe haponi..
Kaka usijishauri tia mzigo...Nataka nitie laki... Esperance wamepewa odd ya 1.7
Duuh Anaongoza mbili halftime..Concord rangers win odds 7View attachment 1082467
Mkuu vip makato kwenye kudepsit ni stahimulifu au ni makubwa? Nipe mfano
Hizi odds 7 za bure sidhani kama mmezichukua. Concord anaongoza mbili bilaConcord rangers win odds 7View attachment 1082467
Pesa tamu sanaaa hiiDuuh Anaongoza mbili halftime..