Ukiweka Laki moja wanakata jumla tshs 6600/=Makato vp yakoje?
ANASHINDA MKUU USIHOFU ILA USHINDI WA SHUHULI SIO KITOTOHivi huyu Spurs leo atatuponyesha kweli?
WAATAKUWA WAANAANZISHA BANK YAOO MANINAAADuu hawa jamaa kenge kabisa laki 2 parefu sana
PsG
Bookmakers wanatuchezea akili..
Ona, Spurs kapewa nafasi ya kushinda lakini Ajax kapewa nafasi ya kufuzu hatua ya nyingine!
Yaani ashinde mmoja alafu afuzu mwingine? View attachment 1084564
Ok siyo mby kiivyo WakuuUkiweka Laki moja wanakata jumla tshs 6600/=