Nahisi ni kweli nimekosea sehemu, kwenye mybux nilivyomaliza process...nikaletewa kulipia kukawa na reference number inaanzia 091m..then namba zikafuata. Baadae nikapokea sms kutoka wallettec wakiniambia kulipia, process ni zilezile nilizoziona mybux ila kwenye ref.namba ikawa tu 091m zile namba hazikuwepo. Nikalipia na nikaweka reference number 091m bila zile namba zingine.Nahisi umechemka mahali mkuu au labda kuna shida ya kimtandao
Mi nililipa sikupata sms ya muamala wa Voda lakini nikapokea email fasta tu
Sijui no zao za customer service
Bookmakers wanatuchezea akili..
Ona, Spurs kapewa nafasi ya kushinda lakini Ajax kapewa nafasi ya kufuzu hatua ya nyingine!
Yaani ashinde mmoja alafu afuzu mwingine? View attachment 1084564
Ulitumia mtandao gani ? M-PESA or tigoNahisi umechemka mahali mkuu au labda kuna shida ya kimtandao
Mi nililipa sikupata sms ya muamala wa Voda lakini nikapokea email fasta tu
Sijui no zao za customer service
Ulitumia mtandao gani ? M-PESA or tigo
They did it against Man city without him!NO KANE WATCH OUT TOTTY
Nahisi ni kweli nimekosea sehemu, kwenye mybux nilivyomaliza process...nikaletewa kulipia kukawa na reference number inaanzia 091m..then namba zikafuata. Baadae nikapokea sms kutoka wallettec wakiniambia kulipia, process ni zilezile nilizoziona mybux ila kwenye ref.namba ikawa tu 091m zile namba hazikuwepo. Nikalipia na nikaweka reference number 091m bila zile namba zingine.
Mkuu inaonekana una frustration na stress sana za maishaTatizo hata hujui mpira ndio maana unaandika ujinga
Hizo reference cdhan kama zina shida maana kweny mybux unaletewa refe ndefu but kweny text ya m lipa unaletewa refer 091m haina shida hama mm niliwahi kulipia kwa hy ya 091m na pesa ikaenda fasta pasipo kuweka ile ndefu. Yawezekana kuna changamoto sehemu fulan tu mkuu ila kama reference haina shida uweke fupi au ndefu zote naamin zinafany kaz tu.Nahisi ni kweli nimekosea sehemu, kwenye mybux nilivyomaliza process...nikaletewa kulipia kukawa na reference number inaanzia 091m..then namba zikafuata. Baadae nikapokea sms kutoka wallettec wakiniambia kulipia, process ni zilezile nilizoziona mybux ila kwenye ref.namba ikawa tu 091m zile namba hazikuwepo. Nikalipia na nikaweka reference number 091m bila zile namba zingine.
Mkuu,achana naye huyu mjinga.. bila shaka anatafuta pa- kufia.Mkuu inaonekana una frustration na stress sana za maisha
Nyie ndio wale mkiguswa kidogo kwenye daladala hayo matusi yake
Take it easy maisha hayataki hasira
We pambana na hali yako tu mkuu
Umefuata haya maelezo?
Resend....View attachment 1084956
Me pia imenikuta jioni hiiWakuu mwenye namba ya M-lipa anisaidie, nimetuma hela iende mybux mida ya SAA tano asubuhi ila mpaka sasa sijatumiwa e-mail. Nimewapigia voda wanadai pesa ipo m-lipa. Msaada please.
wazee naombeni mbinu ya kusuka mkeka wa odd 1.5 kila siku.
Me kwangu inaoneyesha kuna active voucher ila sijaipata kwa email sijui tatizo nnUmefuata haya maelezo?
Resend....View attachment 1084956
Wakuu mwenye namba ya M-lipa anisaidie, nimetuma hela iende mybux mida ya SAA tano asubuhi ila mpaka sasa sijatumiwa e-mail. Nimewapigia voda wanadai pesa ipo m-lipa. Msaada please.
Hii ni site gan?Harufu ya ankara View attachment 1084986
Kila la heri mzee baba wa 2 oddsTottenham Hotspur v Ajax
Brace-NO
Odds 1.2
Al Masry v Wadi Degla
Wadi Degla Handicap 0-2
Odds 1.2
Millwall v Bristol City
Player to score goal at any time
Femara Diedhiou-NO
Odds 1.42
Total Odds 2.0448