Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

KAMA ULICHEZA CONGS MAPICHAPICHA TIPS
6+
3+
BOOOOOOOOOOOOM


✅✅✅🔥

✅✅✅🔥
 
ZITAFUTE NYUMA ZAJANA
PICK 30.04.2019 – TUESDAY

NORWAY: NM Cup
20:00
Fjora vs Floro
Pick: 3+
Odd: 1.35
💚💚💚💚
ENGLAND: Professional Development League – Play Offs
20:00
Ipswich U23 vs Birmingham U23
Pick: 2+
Odd: 1.30
💚💚💚💚
WALES: Division 1
20:30
Briton Ferry vs Cwmamman United
Pick: 3+
Odd: 1.40
💚💚💚💚
 
Wakuu 1xbet barc v liva kuna opt naona kama ni ya kula"firsr half official added time over 1.5 na odds yake 1.5"
Hiyo opt unaiona ni rahisi lakini sivyo unavyofikiria....dk zinaweza ongezwa 1 na hapo ukawa umeliwa
 
Hiyo opt unaiona ni rahisi lakini sivyo unavyofikiria....dk zinaweza ongezwa 1 na hapo ukawa umeliwa
Tatizo Barca Wanakaa sana na mpira na pia game zao nyingi no Fouls nyingi so huathiri dk za nyongeza
 
Usisahau kuna siku ya Bahati na Leo siku hiyo inambeba barca
 
Mkuu, umeli-solve vipi hili tatizo?
Jana voda walisema hela ipo hewani haija enda mlipa

Mwigine akasema hela itarudi ndani ya masaa 24

Leo voda wamesema hela imeenda mlipa na sms ya muamala nimepata ila voucher code hamna

Nimewasiliana na mtu wa mlipa kanimbia nimtumie sms ya muhamala ila hadi sasa ivi hamna feedback

Nimewasiliana na my bux wamesema wana shugulikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…