Mzungu wa Meli
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 215
- 278
Hakuna ujumbe wowote naopataCheck katika Simu yako Kama Kuna ujumbe umeingia
Naandika kwa usahihi but sipati next processNamba ya simu umeandika malizia complete payment sms itakuja kwny cmu yko
MyBux link yao hii https://www.mybux.co.za/mybux/
Nipe Elimu ya hii kituMyBux link yao hii https://www.mybux.co.za/mybux/
Nenda ndani zaidi vumbua mwenyewe mkuu nenda kwenye website hiyo na itafute kule kwenye 1XBet account yako.Hii ndo nn mkuuu
Andika mamba kwny formu ya +255Naandika kwa usahihi but sipati next process
Foggia v Salamitana- DrawTuma za Leo mkuu
Dah una mtihani sana sidhani kama monaco atatoka hapa,Nimeweka laki 3 (ya mkopo) kwa Monaco kushinda. Ili nipate laki 6 chap
Daah huyu mshenz dk81 alitibua sherehe daah@FamaraDiedhiou ametibua sherehe mkuu...
Option ya kupigia hela ni ipi??mimi nimeamua kutafuta ligi za hockey huko chaka ndo napiga hela kimya kimya
Nimeweka laki 3 (ya mkopo) kwa Monaco kushinda. Ili nipate laki 6 chap
Mzee wa 10mins uhakika10000% ulipotelea wap mwamba1xbet mna deposit kwa njia gani....? Wazeee
Shukrani sanaAndika mamba kwny formu ya +255
Cheza monaco corners over 4.5 ina odds ya 2 point kituNimeweka laki 3 (ya mkopo) kwa Monaco kushinda. Ili nipate laki 6 chap
Hata biashara zingine ni ubahatishaji tu, kwani ukifungua duka una uhakika wateja watakuja kwako? Ndo maana unafanya analysis au unafanyiwa analysis na watu wanaofahamu kutoa feasibility report unawalipa wanakwambia kama hili eneo lina uhitaji au la. Mara nyingi wanakuwa sahihi ila pia huwa wanakosea au hawapatii kama inavyotakiwa. Kwenye mpira ni hivyo hivyo, kuna watu wanafanya analysis mpaka wanakwambia kwa kikosi hiki leo lazima muda wa ziada uongezwe si chini ya dk 5. maana hichi kikosi wana historia ya kupoteza mda na kweli unashangaa dk 6 au anakosea kidogo 4 zinaongezwa. Tofauti ya gambling na betting ni kwamba betting mnaweza mfilisi mwekezaji kama wote mtapata ila gambling mnanyang'anyana hela mwekezaji yupo salama.Betting ni ubahatishaji tu ,hakuna mtu anae jua matokeo halisi,wauza tips kawauzieni bibi zenu tu ,kama leo barca na liver hakuna anae jua hapo ni ninj kitatokea,hapo ni kurusha shilligi juu tu itakae mdondokea unampa otherwise hakuna wa kukudanganya mana hata wachezaji wenyewe hawajui nani atashinda.[emoji23][emoji23][emoji23]
FREE TIPS 1 MAY 2019
KWA WALIOFUATA JANA WAMEPATA
HII FREE, UKITAKA ZAIDI KWA 5000 TU MWEZI MZIMA NAKUTUMIA
View attachment 1085559
jukwaa limevamiwa na wapuuzi toka fbFREE TIPS 1 MAY 2019
KWA WALIOFUATA JANA WAMEPATA
HII FREE, UKITAKA ZAIDI KWA 5000 TU MWEZI MZIMA NAKUTUMIA
View attachment 1085559