Meridian betWakuu, ni kampuni gani kibongo bongo haikati Kodi? Naona Premier wameshaanza ukuda km m-bet.
Kuna mtu kajaribu kuwithdraw kwa mybux hivi karibuni?
Nataka nikwarue mkwanja wote nirudi bitcoins
I smell something fishy
Mzee mwenzangu tumjaribu hapa hata kwa buku tano aiseeHapana huwa hawaruhusu
Mkuu sijaelewa opt hii na naipatajeMzee mwenzangu tumjaribu hapa hata kwa buku tano aiseeView attachment 1087649
[emoji23] anaweka mikeka mingi adi tuchanganyikiwa
Kitu nilichoexperience kuhusu mybux asilimia kubwa ya changamoto zinawakuta wanaotumia lain za VODA na AIRTEL but kwa TIGO hakuna changamoto iwe kuweka au kutoa naona tigo haina changamoto kama hii mitandao mingine huduma zinafanyika kwa haraka kbs!!
Nimeshatega hapa kwa 50KMzee mwenzangu tumjaribu hapa hata kwa buku tano aiseeView attachment 1087649
Mm natumia tigo na wiki iliyopita nimetoa pesa lakin walio wengi naona wakitoa shida utakuta voda au airtel na hata leo mm nimeweka kwa tigo na pesa imefika muda mchache baada ya kumaliza hatua zoteMkuu Mara ya mwisho ilikuwa link kuweka na kutoa?