Ebana caf cl timu zimekaziana balaa
Hadi mida hii 2h 0-0 zote
Mlofuata mkeka anzeni kushangilia liver anakufa amini nawaambia.Follow For your own risk, Ila tukumbukane hata vocha.View attachment 1087711
Hongera mpwa..huo ndio uzuri wa 1xbet hawa jamaa nimewavulia kofia ndo kampuni pekee duniani nadhani ambayo mkamalia anaweza kula hela yao bila wasi..Du tumemtandika bhana, hii app ilionesha kona 5, Ngoja nichek salio
Kwahyo kwa matokeo hayo wamefungasha virago?Mazembeeeeeee
Daah
Sio wamefungashaKwahyo kwa matokeo hayo wamefungasha virago?
Kwahyo kwa matokeo hayo wamefungasha virago?
Unaweza nieleza jinsi ya kuingiza na kutoa hela kwenye 1x bet kwa kutumia my bux ndugu?Hongera mpwa..huo ndio uzuri wa 1xbet hawa jamaa nimewavulia kofia ndo kampuni pekee duniani nadhani ambayo mkamalia anaweza kula hela yao bila wasi..
Dooh mkuu hata sijui hiyo njia ikoje mkuu wangu mm natumia safaricomUnaweza nieleza jinsi ya kuingiza na kutoa hela kwenye 1x bet kwa kutumia my bux ndugu?
Mkuu umejaribu ukakwama wapi?Unaweza nieleza jinsi ya kuingiza na kutoa hela kwenye 1x bet kwa kutumia my bux ndugu?
OkMkuu umejaribu ukakwama wapi?
Unajua mda ni mcheche na mambo ni mengi
Kuanza kukueleza from the scratch ni kazi
Nenda top up kisha chagua mybux
Anza kufuata maelekezo taratibu
Utakapo kwama uliza
Mikeka inalipuka maana sio kuchanika
Napata shida kutengeneza new account ya my bux..najaza details zote ..inanambiaMkuu umejaribu ukakwama wapi?
Unajua mda ni mcheche na mambo ni mengi
Kuanza kukueleza from the scratch ni kazi
Nenda top up kisha chagua mybux
Anza kufuata maelekezo taratibu
Utakapo kwama uliza