Kiongoz hii ni app au ndo mkeka wako usha andaa
Sa mkuu hiyo app unaiuza au? Kama ina uhakika kwanini usitupie hapa kila mtu akanufaika?Kama kuna mtu anaitaji app ya uwakika ya betting 1000% anicheki ila angalizo kwa siku inatoa odds 2.50 haizid hapo hii nazan inafaa kwa wale wenye mitaj mikubwa. Pia kwa wale wanaoitaji ht ft zipo, angalizo inatoa mechi 3 kwa siku moja au mbili lazima zitiki kila mechi inakuwa na odds 5 pia mara nyingi zinatik zote, na kwa wale wa correct score pia ninay app uwa inatoa pia inazngua ila haiwez pitisha siku mbili bila kutoa. Mwenye kuitaj anichek. NB: ukinichukulia poa ukizan me tapeli poa ukiuliz maswal yasio na vichwa poa
Hakuna cha app ni bashiri zangu tu nimeweka nikaamua niweke hadharaniKiongoz hii ni app au ndo mkeka wako usha andaa
Kama kuna mtu anaitaji app ya uwakika ya betting 1000% anicheki ila angalizo kwa siku inatoa odds 2.50 haizid hapo hii nazan inafaa kwa wale wenye mitaj mikubwa. Pia kwa wale wanaoitaji ht ft zipo, angalizo inatoa mechi 3 kwa siku moja au mbili lazima zitiki kila mechi inakuwa na odds 5 pia mara nyingi zinatik zote, na kwa wale wa correct score pia ninay app uwa inatoa pia inazngua ila haiwez pitisha siku mbili bila kutoa. Mwenye kuitaj anichek. NB: ukinichukulia poa ukizan me tapeli poa ukiuliz maswal yasio na vichwa poa
Huu ndio naitaga ujinga akufuate ili iwejeKama kuna mtu anaitaji app ya uwakika ya betting 1000% anicheki ila angalizo kwa siku inatoa odds 2.50 haizid hapo hii nazan inafaa kwa wale wenye mitaj mikubwa. Pia kwa wale wanaoitaji ht ft zipo, angalizo inatoa mechi 3 kwa siku moja au mbili lazima zitiki kila mechi inakuwa na odds 5 pia mara nyingi zinatik zote, na kwa wale wa correct score pia ninay app uwa inatoa pia inazngua ila haiwez pitisha siku mbili bila kutoa. Mwenye kuitaj anichek. NB: ukinichukulia poa ukizan me tapeli poa ukiuliz maswal yasio na vichwa poa
Jamaa nlikufata inbox mbna kimy sasa??Huu ndio naitaga ujinga akufuate ili iweje
Jamaa nlikufata inbox mbna kimy sasa??
Kwann kila nikipiga simu premierbet naambiwa namba inatumika yani tokea jana izo namba zao zipo busy tuu
Ya daku
Hujapata Connection Ya Uhakika!Dah ningekuwa na uhakika wa 2.5 odds kila siku ningenunia vogue
Nipe mechi niunguze akaunti nitabebaHujapata Connection Ya Uhakika!
Mimi Nakosa Mtaji But Nikiufumania Tu, Naua!
Nitumie Namba MkuuNipe mechi niunguze akaunti nitabeba
Wadau sportpesa ukishinda hawachelewi kutuma pesa?
0764888217Nipe mechi niunguze akaunti nitabeba
kwani app ndio itaingia uwanjani kucheza ama ni watu halisi. Kama app ipo basi itumike kwenye virtual sports lakini mchezo unaochezwa na binadamu asikudanganye mtu mbinguni na duniani kuwa kuna app inayoweza kubadilisha real kuwa virtualKwanini usiiweke hapa mpaka watu wakufate huko?
No sitoi free sabab at mimi nilinunua tena hela nyingi kwa mawazo yangu finyu nikajua ntakuwa napata odds at 20 za uwakika kumbe odds 2.50 ikizd san ni 3.10 haizid hapo kwa siku. Kuchan ni ngum san maan hat iyo odds 2.50 izo ni team 3. Me naona mizenguo2 odds mbil ndio nn ndio maan nasem kwa wat weny mitaj itawafaa ila silazmish mtuKwann usizitupie humu ili kila MTU mwenye uhitaji aipate kuliko kukufwata pm ?