Internal sio mwizi. Itakuwa kama kwlei hajafanikisha kuwatumia hela watu waliompa hela[emoji134]...Bhasi labda kabanwa, vyuma vitakuwa vimemfanya aone namna gani vipi[emoji134][emoji23][emoji119]...au atakuwa amepatwa na kishawishi[emoji23][emoji134]Mkuu hapa moshi napataje hiyo lain..?? Maana internal anasemekana mwizi kama waizi wengine..
Internal sio mwizi. Itakuwa kama kwlei hajafanikisha kuwatumia hela watu waliompa hela[emoji134]...Bhasi labda kabanwa, vyuma vitakuwa vimemfanya aone namna gani vipi[emoji134][emoji23][emoji119]...au atakuwa amepatwa na kishawishi[emoji23][emoji134]
Ila mimi alinitumia kabisa, ikanifikia.
Sawa Mkuu, pole kwa yaliyokupata.Mkuu Internal ni mwizi narudia huyu ni mwizi tunatakiwa kuto waelekeza wadau wenzetu kwa huyu mwizi utaonekana na WEWE ni miongoni mwa huyu mfarisayo.
Sawa Mkuu, pole kwa yaliyokupata.
Tena muuza tip ambaye matokeo yakibadilika anabadili na tip zake anakwambia ime winNaona Siku hizi Pdidy unauza Tips![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]...kweli zama zimebadilika.
Ahgahahahahah...Daah!Tena muuza tip ambaye matokeo yakibadilika anabadili na tip zake anakwambia ime win
Naona Siku hizi Pdidy unauza Tips![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]...kweli zama zimebadilika.
Hahhahaha...alisema anawakomesha, analeta tips hapa hapa...Hahhaa...yeye ndo nowadays anataka hela, anaweka na namba ya siku kabisa...hhahaha.Maisha yako speed Sana ....na alikua mkosoaji mkubwa Sana adi aliwatukana waliojaribu kufanya ivo
Kupata hizi line za safari com imekua mtihani mkuu usimuite mtu mwizi ilhali kuna watu alushawatumia humu line zikawafikiaMkuu kuna akina Internal wangapi hapa jf? Ni Internal tu ndo mwizi aliye salia tuweke na namba zake hapa watu wamjue dawa ya mwovu ni kuanika uovu wake.
Mkuu huyu ni mwizi kama kuna changamoto kwa NINI wakati hajapewa pesa ukimpigia fasta amepokea baadaye ya kupewa hapokei simu wala kujibu sms karbia wiki mbili sasa lakini kuna jamaa nimempa hela tena ndani ya saa1 nikashangaa ametuma tiketi ya paseli kwangu kuonesha mzigo umesha tumwa.Hivyo Internal ni mwizi tu huyu.Kupata hizi line za safari com imekua mtihani mkuu usimuite mtu mwizi ilhali kuna watu alushawatumia humu line zikawafikia
Fact, Well Said NyambeleAntonHivi hiyo app ni umeitengeneza wewe mpaka unataka kuuzia watu? Hakunaga app ya uhakika zote zinabahatisha tu.
Kijana Wangu Alishindi 22,000 Before Hawaja Update Mtandao Wao.Tahadhari kwa wanaotumia premierbet...hivi karibuni wameanza tabia isiyo vumilika na hii siyo kwangu pekee kwani niliona watu wakilalamika humuhumu jf nikaona labda hayatanikuta sasa yamenikuta...tokea juzi betslip yangu inatakiwa iwe won but mpaka sasa status bado haijabadilika bado inasema bet placed...betslip yngu ilikua na timu 6 wakaweka 2 won izo nyingine bado hazijabadilika tokea juzi j3 nimewapigia simu tangia jana naambiwa busy na kwenye social media ndokabisa hawajibu chochote yani very poor customer care....jana tena nimeshinda bet ya timu 2 chaajabu imewekwa lost nanilibet option zakueleweka...so mnatakiwa mjiadhari nahawa wa2 coz ukichukulia poa sasa siku yakikukuta utaelewa
Wakiliwa sana wanaweza kukuchelewesheaHivi bet pawa hawasumbui kwenye malipo kweli