Mhakiki
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,389
- 2,118
Mkuu huyu ni mwizi,laiti angekuwa amekwama angekuwa anapokea simu na kueleza yaliyo mkuta.Sasa cmu hapokei,ukitumia namba asiyoijua anapokea na kukuambia ndani ya siku fulani kutegemeana na mahali ulipo mwambia upo utakuwa umepata line.Huyu ni mwizi atafutwe popote alipo hata kwa pingu aletwe hapa jukwaani ili ajibu tuhuma zinazo mkabili.
Internal atakua amekwama kwenye usajili sema hataki kufunguka tu