Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Usiziache hizo uhakika 98%.View attachment 1107236
Screenshot_20190525-133725.jpg
 
Mkuu tatizo namba moja la kubet ni uhakika wa bashiri na sio mtaji
Hata upate bilioni moja kama hutakua na bashiri za bahati utapigwa zote
Na kama ukiwa mzuri wa kubashiri trust me sh 500 tu inaweza kubadili maisha yako iwapo utakua na uhakika wa odd zako hata kama ni 2 tu per day
Inahitajika nidhamu na uvumilivu
Hata Weekend Hii Mzigo 100% Watakaohitaji Nitafuteni Bado Nusu SAA! 0764888217/0788003203
 
Hv kweli odds 2 zimakushinda kutengeneza hadi uuziwe!?hua siwaelewi watu
 
Kweli mkuu hapo ni sawa na kumwomba Internal akutafutie laini ya tigo ndani ya tigo shop ilihali hata wewe unaweza kuipata.
Internal atakua amekwama kwenye usajili sema hataki kufunguka tu
 
Back
Top Bottom