Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnangu kwel kbs miamala yangu imekua ya kubet ad kuna mdada tumeanzisha mahusiano sababu ya hii kitu. ye anampesa kwa hyo kila. sku nlikua naenda kwake kuweka. hela mwsho wa sku akaikariri kchwan tukazoeana mwishow nkaingiza verse akakubal tukawa wapenz. cha ajabu hadi leo anajua pesa ninayoweka natunza mpesa kumbe namletea mhindi kwa moyo wote
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] we jamaa unanichekesha
 
Mkuu huyu ni mwizi,laiti angekuwa amekwama angekuwa anapokea simu na kueleza yaliyo mkuta.Sasa cmu hapokei,ukitumia namba asiyoijua anapokea na kukuambia ndani ya siku fulani kutegemeana na mahali ulipo mwambia upo utakuwa umepata line.Huyu ni mwizi atafutwe popote alipo hata kwa pingu aletwe hapa jukwaani ili ajibu tuhuma zinazo mkabili.
Hamna kitu kigumu kama kufanya biashara na mtu anayebeti. Ana haraka muda wote na hataki kusikia chochote.
 
Internal atakua amekwama kwenye usajili sema hataki kufunguka tu
Kuna jamaa aliniomba nimnunulie line ya safaricom nimtumie, Nikachelewa siku moja alikua anapiga simu hadi saa nane usiku,mara akuite tapeli.....

Sijui hii kesi ya Internal, Ila najua jinsi watu wa betting ambayo hawana subira.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Noma sana wabongo
 
Kuna jamaa aliniomba nimnunulie line ya safaricom nimtumie, Nikachelewa siku moja alikua anapiga simu hadi saa nane usiku,mara akuite tapeli.....

Sijui hii kesi ya Internal, Ila najua jinsi watu wa betting ambayo hawana subira.

Na kweli hawana subira kabisa mtu anaweza kukuelewa tofauti kabisa
 
[emoji3][emoji3][emoji3]mi ilikua akichelewa ata dk 1 narud namuliza kama kuna tatzo anashangaa kuona nna haraka sna.asa cku ya kuwithdrawal ndo naenda nakaa ata nusu saa
Hamna kitu kigumu kama kufanya biashara na mtu anayebeti. Ana haraka muda wote na hataki kusikia chochote.
 
TWENDE PAMOJA
Screenshot_2019-05-25-21-23-23.jpeg
 
No mkuu ukiangali post zake anakiri kuwa miongoni kwa wakamalia kama Mimi ni wastaarabu tatizo ni yeye.Hapa mkuu hata usimtetee nadhani wewe ulikuwa una mawasiliano na mteja wako.By the way internal Mimi aliniambia baada ya siku 2 ataleta mzigo lakini hii wiki ya 2.Huyu ni mwizi hakuna jina lingine LA kumwita.
Kuna jamaa aliniomba nimnunulie line ya safaricom nimtumie, Nikachelewa siku moja alikua anapiga simu hadi saa nane usiku,mara akuite tapeli.....

Sijui hii kesi ya Internal, Ila najua jinsi watu wa betting ambayo hawana subira.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnangu kwel kbs miamala yangu imekua ya kubet ad kuna mdada tumeanzisha mahusiano sababu ya hii kitu. ye anampesa kwa hyo kila. sku nlikua naenda kwake kuweka. hela mwsho wa sku akaikariri kchwan tukazoeana mwishow nkaingiza verse akakubal tukawa wapenz. cha ajabu hadi leo anajua pesa ninayoweka natunza mpesa kumbe namletea mhindi kwa moyo wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nmecheka kwel.
 
No mkuu ukiangali post zake anakiri kuwa miongoni kwa wakamalia kama Mimi ni wastaarabu tatizo ni yeye.Hapa mkuu hata usimtetee nadhani wewe ulikuwa una mawasiliano na mteja wako.By the way internal Mimi aliniambia baada ya siku 2 ataleta mzigo lakini hii wiki ya 2.Huyu ni mwizi hakuna jina lingine LA kumwita.
Kumbe ww ndo muhusika [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nmepata line ya safaricom lakn km nashindwa kuiset inaonyesha hiviii... Nifanyeje ili iwe fresh
1107773
 
leo sikuwa online but am sure wengi walioplay football mambo si mazuri
chagua za kesho hapo
Poland u20 win
Torpedo Moscow win
Salzburg win
JSKabylie win
Roma win
Atlanta win
Osijek win
South Mebourne u20 win
Canberra Olympic win
johor Darul Ta'zim(Malaysia) win
locotive Moscow win
Ried win
zenit st. petersburg win
paradou Ac win
shaktar donesk win
FC Krasnodor win
sundal over
Hamilton Olympic over
charlestown over
Select odd unazotaka stake wisely.
 
Mkuu wakamalia wengi wamejikita kwenye magoli ilhali kuna opt nyingi.Pole yao kwa michezo ya leo.

Back
Top Bottom