Internal atakua amekwama kwenye usajili sema hataki kufunguka tu
Aiseee
Watu wana roho ngumu dadeq
Halafu atakua anachungulia humu anasanifu tu
Ha haaaaaawakuu c leo nlikua nataka kumtumua ela. mtu meshtukia najaza namba ya kampun ya betpawa duu. shkamoo betting
Nashawishika kuamini amedhamiria kufanya aliyofanyaMkuu uonavyo wewe siyo na utapeli lnternal aonavyo.
mnangu an nmejistukiaHa haaaaaa
Mkuu umenifanya nicheke kwa sauti peke yangu kama chizi
Mkuu sory...hiv wakikufungia akaunt, hua unawasiliana nao then wanaifungua au ni baada ya muda fln?Mayu
Lete Vituuu
JF walinifungia kwa kumtukana Sanaa P Diddy
Bado kuna Boya mwengine naye atafata
Sijaelewaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15]Ha haaaaaa
Mkuu umenifanya nicheke kwa sauti peke yangu kama chizi
Aseeeh sawaSijawasiliana nao
Waliniletea ujumbe katika e-mail yangu ya kwamba, sitashiriki mjadala wowote kwa sababu za kutumia lugha za matusi
Hivyo ntaruhusiwa baada ya mwez mmoja kupita tangu nifungiwe
Basi kifungo kiliisha jana
Mkuu hujawahi kuwa sehemu unaperuzi simu yako ukakutana na comment ukashtuka umeangua kicheko changuvu hadi watu wanakushangaa huyu vip?Sijaelewaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15]
Mkuu hujawahi kuwa sehemu unaperuzi simu yako ukakutana na comment ukashtuka umeangua kicheko changuvu hadi watu wanakushangaa huyu vip?
Ndio kilicho nitokea
Hahah,kwamba ..betting haijakuacha holela tuu bali imekupa na kademu kiongoz[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnangu kwel kbs miamala yangu imekua ya kubet ad kuna mdada tumeanzisha mahusiano sababu ya hii kitu. ye anampesa kwa hyo kila. sku nlikua naenda kwake kuweka. hela mwsho wa sku akaikariri kchwan tukazoeana mwishow nkaingiza verse akakubal tukawa wapenz. cha ajabu hadi leo anajua pesa ninayoweka natunza mpesa kumbe namletea mhindi kwa moyo wote
π π π π π[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnangu kwel kbs miamala yangu imekua ya kubet ad kuna mdada tumeanzisha mahusiano sababu ya hii kitu. ye anampesa kwa hyo kila. sku nlikua naenda kwake kuweka. hela mwsho wa sku akaikariri kchwan tukazoeana mwishow nkaingiza verse akakubal tukawa wapenz. cha ajabu hadi leo anajua pesa ninayoweka natunza mpesa kumbe namletea mhindi kwa moyo wote
hahaha ee. nmepata na pumzko la moyo cku akijua atacheka balaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu umepata na faida mbadala ya betting
Bi dada anajua unafanya saving [emoji28][emoji28]