Inshallah kuna siku utamuotea parefu kanji unaenda kwa mbwembwe zote kutoa milioni kadhaa kwake.hahaha ee. nmepata na pumzko la moyo cku akijua atacheka balaa
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] we jamaa unanichekesha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnangu kwel kbs miamala yangu imekua ya kubet ad kuna mdada tumeanzisha mahusiano sababu ya hii kitu. ye anampesa kwa hyo kila. sku nlikua naenda kwake kuweka. hela mwsho wa sku akaikariri kchwan tukazoeana mwishow nkaingiza verse akakubal tukawa wapenz. cha ajabu hadi leo anajua pesa ninayoweka natunza mpesa kumbe namletea mhindi kwa moyo wote
Hamna kitu kigumu kama kufanya biashara na mtu anayebeti. Ana haraka muda wote na hataki kusikia chochote.Mkuu huyu ni mwizi,laiti angekuwa amekwama angekuwa anapokea simu na kueleza yaliyo mkuta.Sasa cmu hapokei,ukitumia namba asiyoijua anapokea na kukuambia ndani ya siku fulani kutegemeana na mahali ulipo mwambia upo utakuwa umepata line.Huyu ni mwizi atafutwe popote alipo hata kwa pingu aletwe hapa jukwaani ili ajibu tuhuma zinazo mkabili.
Kuna jamaa aliniomba nimnunulie line ya safaricom nimtumie, Nikachelewa siku moja alikua anapiga simu hadi saa nane usiku,mara akuite tapeli.....Internal atakua amekwama kwenye usajili sema hataki kufunguka tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Noma sana wabongoKuna jamaa aliniomba nimnunulie line ya safaricom nimtumie, Nikachelewa siku moja alikua anapiga simu hadi saa nane usiku,mara akuite tapeli.....
Sijui hii kesi ya Internal, Ila najua jinsi watu wa betting ambayo hawana subira.
Kuna jamaa aliniomba nimnunulie line ya safaricom nimtumie, Nikachelewa siku moja alikua anapiga simu hadi saa nane usiku,mara akuite tapeli.....
Sijui hii kesi ya Internal, Ila najua jinsi watu wa betting ambayo hawana subira.
Hamna kitu kigumu kama kufanya biashara na mtu anayebeti. Ana haraka muda wote na hataki kusikia chochote.
Kunahitajika umakini sana ukiwa addicted na betting.. Lazima uifanye for fun uitawale.. Sio unaifanya kama pumzi kwamba usipobet unakufa.. Unabet mpaka hela ya kula.,nauli n.kNa kweli hawana subira kabisa mtu anaweza kukuelewa tofauti kabisa
Mambo yakiwashinda wanabadilisha setting za Whatsapp ili wengine wasichangie na kuwachana ukweliNaleta Ushahidi wa bwana mdogo Rostema, bwana mdogo nawaambia watu wajiunge kwa group kusudi AWAUZIE ODDS
sasa Ushahidi ni huu hapa unaofata,
Nimemchana na kumuelekeza pia aseee, aache huo UPUNGUANI WAKEView attachment 1107535View attachment 1107536
Kuna jamaa aliniomba nimnunulie line ya safaricom nimtumie, Nikachelewa siku moja alikua anapiga simu hadi saa nane usiku,mara akuite tapeli.....
Sijui hii kesi ya Internal, Ila najua jinsi watu wa betting ambayo hawana subira.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nmecheka kwel.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnangu kwel kbs miamala yangu imekua ya kubet ad kuna mdada tumeanzisha mahusiano sababu ya hii kitu. ye anampesa kwa hyo kila. sku nlikua naenda kwake kuweka. hela mwsho wa sku akaikariri kchwan tukazoeana mwishow nkaingiza verse akakubal tukawa wapenz. cha ajabu hadi leo anajua pesa ninayoweka natunza mpesa kumbe namletea mhindi kwa moyo wote
Kumbe ww ndo muhusika [emoji23][emoji23][emoji23]No mkuu ukiangali post zake anakiri kuwa miongoni kwa wakamalia kama Mimi ni wastaarabu tatizo ni yeye.Hapa mkuu hata usimtetee nadhani wewe ulikuwa una mawasiliano na mteja wako.By the way internal Mimi aliniambia baada ya siku 2 ataleta mzigo lakini hii wiki ya 2.Huyu ni mwizi hakuna jina lingine LA kumwita.
namwambia bibie kama huna float zungusha hyo hyo million ya kwngu narud chimbo tena hahahaInshallah kuna siku utamuotea parefu kanji unaenda kwa mbwembwe zote kutoa milioni kadhaa kwake.
Lazma alie hana floti
Yaa pia kuna jamaa zangu ninao hapa kijiweni nao wansmlilia lnternalKumbe ww ndo muhusika [emoji23][emoji23][emoji23]
leo sikuwa online but am sure wengi walioplay football mambo si mazuri
chagua za kesho hapo
Poland u20 win
Torpedo Moscow win
Salzburg win
JSKabylie win
Roma win
Atlanta win
Osijek win
South Mebourne u20 win
Canberra Olympic win
johor Darul Ta'zim(Malaysia) win
locotive Moscow win
Ried win
zenit st. petersburg win
paradou Ac win
shaktar donesk win
FC Krasnodor win
sundal over
Hamilton Olympic over
charlestown over
Select odd unazotaka stake wisely.