mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,934
Umejaribu kujiunga ?Habar wakuu nina line ya safaricom nahitaji msaada wa kujiunga 1xbet .
Pia nipo na Acc ya Zaman ya 1xbet
Shukrani mkuu kwa wazo hili ulilionipa.itanibd nibadilishe strategies kwa kweli mana kuna kaupepo nakaoteaga sana hlf gafla tu kananigeuka..itanibd niwe mwepes kuzitoaMkuu, itakuwa unabet kila tu bet iki won au lose, chakufanya ili usichoshe kichwa, ukupata odds yako maybe 1.45 weka pesa kubwa kubwa ambayo ukila tu inatosha ata kupumzika.
Mm nahakikisha ikiwon tu, inatosha kutoa kwa wakala. Sichoki mana nikipigwa moja navuta pumzi ndefu nasubiri badae tena.
ya kwanza ishatoa kwa walioplay single
1xbet for lifeView attachment 1118228
Mbona ni TZS mkuu???1xbet for lifeView attachment 1118228
ntumia bitcoinMbona ni TZS mkuu???
Unadiposit kwa njia IPI kiongozi?
Hiv hua inanoga sana ukiwa na mtaji mpana..kwa odds zeny afya kama hivo, faida ni kubwa!!1xbet for lifeView attachment 1118228
Hiv hua inanoga sana ukiwa na mtaji mpana..kwa odds zeny afya kama hivo, faida ni kubwa!!
Tupe mbinu sasa mkuu tutembee nazo.. Usikalie madini shea nasi tuone uzuri wake..yan mngejua tennis kuna hela kushinda foot ball View attachment 1118280