Mtwara Smart
JF-Expert Member
- Jun 6, 2019
- 668
- 1,510
Asante Bro Na Mimi Nimekufuata Jana Baada Ya Post Yako Japokuwa Stake Zangu Ni Buku Buku But Naona Matundq Mungu AkubarikiView attachment 1121824
mimi na basket basket na mimi toka saa 11 asubuhi napig mzigo nasubiri mechi ya saa 12 unusu saa moja na kuendelea basket imeniokoa toa nimeachana na kubet football
NI rahisi kula kuliko kuliwaAsante Bro Na Mimi Nimekufuata Jana Baada Ya Post Yako Japokuwa Stake Zangu Ni Buku Buku But Naona Matundq Mungu Akubariki
View attachment 1121825
Unacheza option gan kiongoz..nipe ujuz kidogo kama huto mindView attachment 1121824
mimi na basket basket na mimi toka saa 11 asubuhi napig mzigo nasubiri mechi ya saa 12 unusu saa moja na kuendelea basket imeniokoa toa nimeachana na kubet football
kubet live mechi quater by quater mkuuUnacheza option gan kiongoz..nipe ujuz kidogo kama huto mind
Hauwezi kuichukua kama pesa isipokuwa inatumika kubetia mechi zingineAsante Mkuu Na Hii Bonus Ya Meridian Inatumikaje
Bet365 inakubali Tanzania ila tatizo lipo kwenye kuverify account yaani watakwambia tuma national ID, Bank statment mara passportWakuu habari zenu jamani,Mi naomba kuuliza kwa wenye uzoefu na hizi kampuni za betting za nje.
Nilikuwa nikitafuta kampuni ya kizungu ya kubetia hasa zile kubwakubwa tunazozionaga katika ligi ya Uingereza kama kina Bet365,Williamhill,BetFair,Lardbrokes n.k n.k lakini nyingi nilipokuwa nikijaribu kuanza registration process zinanijibu hazitoi huduma ktk nchi yangu sasa nikabahatika kukutana na 888sports nikasajili ikakubali na sasa nina akaunti huko,Sasa maswali yangu ni haya kwa ambaye ana uelewa na haya makampuni.
Je ufanisi wa kampuni hii ukoje?(Uaminifu+Uwezo wake kulipa wateja wake)
Suala la deposits na withdraws nataka nipambane tu kusoma ila km kuna mwenye kujua anaweza toa mawazo ila nataka nitumie mastercard yangu ya NMB
NAJUA KUNA WATAOULIZA KILICHONINYIMA PESA KTK KAMPUNI ZA KIBONGO NINI MPAKA NIKIMBILIE HUKO jibu aina ila najaribu kubadili upepo tu maana game ikikukataa unajipindua kusaka malisho mazuri.
Nategemea kupata mawazo yenu.
Mambo yameenda vizuri kama tulivyotegemea kumbuka tumeanza na Tshs 150,0008-06-2019
Tunaanza na mtaji wa Tshs 150,000/=
16:00 Iceland Vs Albania. 1. 1.65. X Tsh 50,000 =82,500
16:00 Croatia Vs Wakes 1. 1.59 X Tsh 50,000=79,500
11:30am Robredo T -Vavassori 1 1.51 X Tsh 50,000=75,500
Mategemeo ni kupata Tshs 237,500
Ambapo faida itakuwa Tshs 87,500
Tukutane baada ya matokeo
Hatari sana, good workNimepiga 225,5510 kupitia san marino. Stake yake ilikua presha tupu
View attachment 1121955
Uko serious na kazi Mzee baba..huu ndio uwekezaji,risk kama zote! Kudos though!Nimepiga 225,5510 kupitia san marino. Stake yake ilikua presha tupu
View attachment 1121955
France ******* wote pamoja na wachezaj wap
Chagua chache utupie mzigo.
View attachment 1121494
Hawa jamaa wana usumbufu sana kwa sasa,Customer care agents hawapokei simu wala kufanyia kazi matatizo ya wateja iwe Fcebook, uwatumie e-mails. Eti wanasema utaweza kutoa pesa ukishinda kuanzia 10,000/= kwenda juujaman nimeleta mashtaka kuhusu hawa premier bet kuna akaunti moja wameiblock wamegoma ifungua ss nimefungua nyingine zaidi ya mara moja ila nikiweka hela baada ya kushinda siwezi kuitoa ntaweka screenshot chakushangaza hata nikiwa natumia device nyingine wananiblock tena kuna siri gani hapa najua nafanya kosa lakuwa na multiple account nifanyeje ili niendelee kumchinja huyu kanjibai kismat changu kipo premierbet wajameni najua wakamaria ni wema sana