bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Acha tupambane mkuu mi nataka nione mpaka mwisho hawa 888 ntafika nao wapi.Bet365 inakubali Tanzania ila tatizo lipo kwenye kuverify account yaani watakwambia tuma national ID, Bank statment mara passport
Mimi nimekwama kwenye bank statment kila ninayotuma wananiambia hawakubali aina ya statment nilizowatumia
Ubaya huwezi kuwithdraw mpaka ufanikiwe zoezi la verification ila kudeposit utafanikiwa
Duuuh...hongera..ila mi ningeshaanguka siku nying sana, na vile niko karibu na kcmc, basi ni dripu kwa hizo red nne hapo....hongera!!Nimepiga 225,5510 kupitia san marino. Stake yake ilikua presha tupu
View attachment 1121955
Nami ndo hilohilo tatizo langu nahisi wanaanza filisika kenge hawa customer care mbovu balaa wanatupiana mpira facebook wanasema tuma watsap, watsapp wanasema piga simu ukipiga simu kuna kina kidada kinajibu kwa ukal utadhan tumekilazmisha kufanya kaz na wahindi baaamit zaoMsaada wakuu. Nimefungua account Premierbet kama wiki moja sasa. Leo nime-win bet lakini najaribu kutoa pesa napata ujumbe huu hapa. mwenye uzoefu na hii kampuni msaada tafadhali
View attachment 1122114
Nami ndo hilohilo tatizo langu nahisi wanaanza filisika kenge hawa customer care mbovu balaa wanatupiana mpira facebook wanasema tuma watsap, watsapp wanasema piga simu ukipiga simu kuna kina kidada kinajibu kwa ukal utadhan tumekilazmisha kufanya kaz na wahindi baaamit zao
Wanakupa majibu gan ukiwachekYaani mkuu kuna pesa yangu 75k wanaleta mizengwe tu
Wanakupa majibu gan ukiwachek
0765895903 kuna namba nyngine waliyoiweka kwenye webste yao inaanza na 08 pia kuna ile ya watsappNimetuma email hawajibu, kama una namba zao naomba mkuu
nenda polisi kawashtaki watakulipa2Yaani mkuu kuna pesa yangu 75k wanaleta mizengwe tu
Msaada wakuu. Nimefungua account Premierbet kama wiki moja sasa. Leo nime-win bet lakini najaribu kutoa pesa napata ujumbe huu hapa. mwenye uzoefu na hii kampuni msaada tafadhali
View attachment 1122114
Hili li kampuni Halifai Achana Nalo Mkuu hamia kwengine huku Utalia kila siku na Hakuna atakayekusaidia! Narudia tena HAMIA KAMPUNI NYINGINE! Narudia kwa mara ya mwisho HAMIA KAMPUNI NYINGINE
Pamoja sana mkuu, umetisha mno.Habari za jumapili wakuu, naona PM yangu watu wanalalamika haipokei SMS, sasa sielewi account yangu ina shida gani, ndio mana nikawa nasisitiza kama unahitaji line ya Safaricom nicheki WhatsApp kwa namba 0719957092 ndio mtanipata kwa urahisi. Lakini kwa watu wa Dar es salaam, Kilimanjaro na Arusha tu. Kwa watu wa mikoa mingine mtatakiwa muwatafute ndugu au rafiki zenu waliopo mikoa tajwa hapo juu ili wawachukulie line na wawatumie huko mliko.
Safaricom ipo direct linked to 1xbet hakuna mtu wa kati kama alivokuwa M-lipa. Namba ya kampuni xbet ni 290027, account number utaweka ID yako ya xbet.
Na pia ukipata line sehemu yoyote usisite kunicheki kwa namba ya WhatsApp tajwa hapo juu nikusaidie utakapokwama.
Karibuni.
Pamoja sana mkuu.Mkuu umetisha sana ingawa sikufata ila bigup sana
Ureno lazima ashinde mkuuWakuu ,Habar ni gani, naulizia mbona leo Holland kapewa odd kubwa vile, Kuna Nn
Mi na nataka kufa nazo