Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Du! Yupo humu JF? Kama yupo JamiiForums tumuombe admin amfungie kwa utapeli wake huu.
 
Msaada wakuu. Nimefungua account Premierbet kama wiki moja sasa. Leo nime-win bet lakini najaribu kutoa pesa napata ujumbe huu hapa. mwenye uzoefu na hii kampuni msaada tafadhali

View attachment 1122114
Mkuu tumia simu au kompiuta tofauti kujisajiri kwa jina na namba ya simu tofauti na ile uliyotumia kwanza. Hata kama wanakufutilia hawawezi kuwa smart kiasi hicho.
 
Mkuu tumia simu au kompiuta tofauti kujisajiri kwa jina na namba ya simu tofauti na ile uliyotumia kwanzo. Hata kama wanakufutilia hawawezi kuwa smart kiasi hicho.

Mkuu tatizo lipo kwenye kutoa pesa. Sasa kama nafungua account nyingine pesa yangu naipataje mkuu? Yaani hii account niliyofungua haina shida ku-deposit, shida ni kutoa pesa ndiyo wanazingua.
 
Jamani mbona Mimi Kila ninapocheza perfect 12 M-bet sipati gawio iwapo mara ya Kwanza nilipata mechi 9 ticket inaonesha Lost Mara ya pili nikapata mechi 10 vile vile ticket Lost Wana Nini na Mimi Hawa Mbet???
 
Kwani perfect 12 si mpaka zote zitiki mkuu au mashari yao yanasemeje?
 
Kuweni Makini saana na Hizi mambo za Safaricom! Usimtumie pesa Mtu Usiyemjua, Utatapeliwa tu! Sasa kipi bora Kukosa line na hela yako unayo au Kutapeliwa? Hakikisheni Biashara inafanywa Mkono kwa Mkono, Uso kwa Uso! Tofauti na Hapo Utapeli utazidi kuendelea 🤬🤬🤬 Bora Ukose pesa kwa Kubetia Betpawa au bora ukatwe parefu Kudeposit kwa Bitcoin kuliko Kufanyiwa Utapeli Inaumiza saana! Chukueni Tahadhari maana malalamiko yamekuwa Mengi! Halafu wadau na nyie unaanzaje kumuamini mtu wa jf [emoji15][emoji15][emoji15] Eti kisa tu kakupa namba ya simu[emoji15] TUWE MAKINI SANA
 
Mkuu tatizo lipo kwenye kutoa pesa. Sasa kama nafungua account nyingine pesa yangu naipataje mkuu? Yaani hii account niliyofungua haina shida ku-deposit, shida ni kutoa pesa ndiyo wanazingua.
Kutoa pesa kutoka akunti iliyofungiwa au mpya uliyofungua upya? Kama ni kwenye akaunti iliyofungiwa, haitawezekana mpaka ifunguliwe kwanza. Kama ni akaunti mpya, inabidi uripoti tatizo waangalie tatizo ni nini.
 
Hiii account haikufungiwa, maana Nabashiri mechi kama kawaida, isipokuwa kwenye kutoa ndiyo napata vikwazo. Yawezekana nakosea mahali fulani. Hii ni mara yangu ya kwanza kutoa pesa katika kampuni hii na nim mgeni sana kwenye app yao. Huwa natia mpunga kule BetPawa ambao kwa kweli hawana longolongo.
 
Kwani perfect 12 si mpaka zote zitiki mkuu au mashari yao yanasemeje?
Hapana mkuu wameweka dau kuanzia mechi 9 kuna dau lake
Mechi 10 kuna dau lake mechi 11 kuna dau lake pia mech 12 kuna dau lake Ila inapotokea kwenye Kila dau kuna watu kadhaa mnapigwa gawio kutokana na pesa iliyopo kwenye dau la mechi hizo
 
Ushauri kuntu.
 
Mkuu umewasiliana nao? Hebu wasiliana nao usikie wanasemaje kwanza. Kama mashrti ni hayo, basi LAZIMA upewe mpunga wako bila shuruti. Wasiliana nao kwanza kama watakuzingua uwashitaki hapa: http://www.gamingboard.go.tz/contactus_feedback.php?p=20&s=contacts&t=Feedback Form
 
kwa ninavyoelewa na jinsi walivyonijibu mim kipnd natumia hiyo app walisema zile mech za nyongeza huwa hawazihesabu.so angalia kati ya ulizoshinda zipo na zile za nyongeza if yes unataikwa ujue umekosa na ikitoa hazipo wapigie wakupe mpunga wako
Hapana mkuu wameweka dau kuanzia mechi 9 kuna dau lake
Mechi 10 kuna dau lake mechi 11 kuna dau lake pia mech 12 kuna dau lake Ila inapotokea kwenye Kila dau kuna watu kadhaa mnapigwa gawio kutokana na pesa iliyopo kwenye dau la mechi hizo
 
9-6-2019
Next
14:00pm Molleker Rudolf Vs Robredo Tomy 1. 1.63 x115,000 =187,450
Faida 72,450

Tukutane baada ya matokeo
Game nyingine saa moja analysis zinaendelea kufanyika
 
Msaada wakuu. Nimefungua account Premierbet kama wiki moja sasa. Leo nime-win bet lakini najaribu kutoa pesa napata ujumbe huu hapa. mwenye uzoefu na hii kampuni msaada tafadhali

View attachment 1122114
Uwe umeshinda kuanzia 10,000/= kwenda juu ndipo utaweza kutoa pesa kama ni pungufu ziache au bet zaidi. Hayo ni maelekezo yao ya jana tarehe 08 Juni 2019 kuwa huo ndiyo utaratibu wao mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…