Uwe umeshinda kuanzia 10,000/= kwenda juu ndipo utaweza kutoa pesa kama ni pungufu ziache au bet zaidi. Hayo ni maelekezo yao ya jana tarehe 08 Juni 2019 kuwa huo ndiyo utaratibu wao mpya.
9-6-2019
Next
14:00pm Molleker Rudolf Vs Robredo Tomy 1. 1.63 x115,000 =187,450
Faida 72,450
Tukutane baada ya matokeo
Game nyingine saa moja analysis zinaendelea kufanyika
Maelezo hayo waliyatoa wapi mkuu niyatafute?Uwe umeshinda kuanzia 10,000/= kwenda juu ndipo utaweza kutoa pesa kama ni pungufu ziache au bet zaidi. Hayo ni maelekezo yao ya jana tarehe 08 Juni 2019 kuwa huo ndiyo utaratibu wao mpya.
Nilipiga Customer Care nikajibiwa na agent, watafute messenger na e-mail kwenye website yao.Maelezo hayo waliyatoa wapi mkuu niyatafute?
Watafute WhatsApp, messenger au Facebook chat pia waandikie e-mail. Wana usumbufu hao nilikuwa natoa hela nikapata shida nilitumia wiki 3 za kupambana kweli kweli hadi issue yangu kuwa resolved. Makao yao makuu ni London hapa Tanzania Kanjibhai ni tawi tu.Mkuu mpaka sasa kwenye account yangu nina 94k inakuaje nimetaka kutoa 50k haitoki? Labda sijakuelewa vizuri mkuu.
Watafute WhatsApp, messenger au Facebook chat pia waandikie e-mail. Wana usumbufu hao nilikuwa natoa hela nikapata shida nilitumia wiki 3 za kupambana kweli kweli hadi issue yangu kuwa resolved. Makao yao makuu ni London hapa Tanzania Kanjibhai ni tawi tu.
Kwa ulivyoelewa wewe mkuu kama umeweka 10000 ukaweka ukashinda 13000 itatoka au inabidi iwe umeweka 10000 halaf ushinde 10000= 20000 ndo itatoka samahan lakin washanzingua sana hawaNilipiga Customer Care nikajibiwa na agent, watafute messenger na e-mail kwenye website yao.
Kwa ulivyoelewa wewe mkuu kama umeweka 10000 ukaweka ukashinda 13000 itatoka au inabidi iwe umeweka 10000 halaf ushinde 10000= 20000 ndo itatoka samahan lakin washanzingua sana hawa
Kwa ulivyoelewa wewe mkuu kama umeweka 10000 ukaweka ukashinda 13000 itatoka au inabidi iwe umeweka 10000 halaf ushinde 10000= 20000 ndo itatoka samahan lakin washanzingua sana hawa
Hebu tupe link ya hiyo form nasi tulalamike huu utaratibu mpya ni uonevu hata kama ndiyo T&C apply.Nimewapa tarifa kuwa nimejaza fomu ya malalamiko kwenda Bodi ya Michezo ya Bahati Nasibu. Nashangaa mpunga umekubali kutoka mkuu.
Hebu tupe link ya hiyo form nasi tulalamike huu utaratibu mpya ni uonevu hata kama ndiyo T&C apply.
Asante nalalamika sasa hivi, yaani tuhangaike na MYBUX,BITCOINS line za Safaricom kwa warusi wa 1XBet halafu na makampuni ya hapa yatusumbue kiasi hiki. Leo siwaachi.
Asante nalalamika sasa hivi, yaani tuhangaike na MYBUX,BITCOINS line za Safaricom kwa warusi wa 1XBet halafu na makampuni ya hapa yatusumbue kiasi hiki. Leo siwaachi.
Tuweke tiki kabisa.
Jamani Kwa mwenye uzoefu hawa Sportspesa wanalipa haraka ukishinda au ndo miyeyusho
Vipi mkuu na wewe unatumia hao jamaaHuwa hawacheleweshi kulipa
Vipi mkuu na wewe unatumia hao jamaa