Mkuu mm ndio mhusika, dogo amekosa busara na heshima alimitumia hela baada ya kuridhika na maelezo yng kwanza sikua hata nataka ila alinisihi sana nkaamua kuvunja ratiba yng nimshugulikie swala lake, line imepatikana nkamuandaa aje mjini njiani gari yng ikagongwa na gari la ngombe nkamtaarifu ,nkamwambia siko sawa labda kesho ndo ntakua mjini uje uchukue line yako!!! Dogo aliniporomoshea matusi hakuna tusi aliacha, akasema najifanya tapeli ntaona ,nkamwambia ondoa maneno yako uliyonitamkia tuonane au nimpe kijana wng akuletee sababu anapoishi napajua hakufamya hivyo, akasema nalipeleka kwa wana jf ,nkamwambia Kama ni utatuzi utaosaidia peleka!!! JIBU LA UPOLE HUGEUZA HASIRAPole sana mkuu
Hawa watu ndio wanafanya maisha yanakua magumu kwa vitu vyepesi sana
Ndugu mbona unahangaika sana na group lako kutafuta memba hapa JFNjooni tumpasue mrusi
Bofya link hapo chini
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/JmnNDUrkxNWF4KR7WLrgpo
As liyeomba link[emoji115]
Mkuu haya mambo inabidi muwasiliane muyajenge yaisheMkuu mm ndio mhusika, dogo amekosa busara na heshima alimitumia hela baada ya kuridhika na maelezo yng kwanza sikua hata nataka ila alinisihi sana nkaamua kuvunja ratiba yng nimshugulikie swala lake, line imepatikana nkamuandaa aje mjini njiani gari yng ikagongwa na gari la ngombe nkamtaarifu ,nkamwambia siko sawa labda kesho ndo ntakua mjini uje uchukue line yako!!! Dogo aliniporomoshea matusi hakuna tusi aliacha, akasema najifanya tapeli ntaona ,nkamwambia ondoa maneno yako uliyonitamkia tuonane au nimpe kijana wng akuletee sababu anapoishi napajua hakufamya hivyo, akasema nalipeleka kwa wana jf ,nkamwambia Kama ni utatuzi utaosaidia peleka!!! JIBU LA UPOLE HUGEUZA HASIRA
Mkuu sio lazima kila post inayokukera ukoment....zinazokukera unaachana nazo then unafanya yakoNdugu mbona unahangaika sana na group lako kutafuta memba hapa JF
Hebu fanya kuwaunga ukoo wako woote mumpasue mrusi mtajirike
Tumechoka na matangazo yako hapa
Hapa nlipo niko kenya na kesho ntakua musoma line ninayo nataka aondoe maneno yake tu aliyonikosea adabu maana naamini kwa umri ni kama mtoto wng sina cha zaidiMkuu haya mambo inabidi muwasiliane muyajenge yaishe
Ndugu mbona unahangaika sana na group lako kutafuta memba hapa JF
Hebu fanya kuwaunga ukoo wako woote mumpasue mrusi mtajirike
Tumechoka na matangazo yako hapa
Ww hukai buhare?? Karibu na chuo cha maendeleo ya jamii? Dogo mm siko unavyodhani njoo asubuh free park muulizie fundi tv anaitwa hafidh uchukue line yakoUnajua napo kaa?
WACHA MANENO MENGI NDUGU, wewe sema ulikuwa na niya mbaya tu haiwezekani ata kama ulipata ajali usipe taarifa alafu nilikuliza kabisa KAKA KAMA LEO HAKUNA UWEZEKANO WA KUJA MUSOMA NI BORA UNAMBIE NIRUDI NYUMBANI KULIKO KUKAA HAPA STEND MPAKA MIDA HII YA JIONI.
Wakati niko kwenye bajaji narudi nyumbani tena karibia kufika ndo wanitumia txt na kusema umepata ajali.
BASI MIMI NDO MWENYE MAKOSA, NIFANYIE MPANGO WA PESA YANGU AMA LINE YANGU.
Nyambafu.....Mkuu sio lazima kila post inayokukera ukoment....zinazokukera unaachana nazo then unafanya yako
Na ukishampa hiyo line, aje alete mrejesho humu kuwa wewe sio Tapeli. Maana alishakuchafua.Ww hukai buhare?? Karibu na chuo cha maendeleo ya jamii? Dogo mm siko unavyodhani njoo asubuh free park muulizie fundi tv anaitwa hafidh uchukue line yako
Silence means powerHuyu hanaa wateja nliwahi kuingia huko kwenye grp lake akawa anataka tumchangie hela kwaa tip zake anzotuma nkamkosoa akaniremove so ukiona hivyo keshakosa wadau huko
Mkuu sio lazima kila post inayokukera ukoment....zinazokukera unaachana nazo then unafanya yako
Me siko buhare ndugu me niko Mtakuja
Siwezi kuja mahali bila contact mkuu, tambua muda ni kitu cha dhamani sana kwangu
Siitaji yatokee kama yaliyotokea ya kukalishwa tokea asubuhi mpaka jioni
Acha upuuzi basi uliyemtumia pesa unamfahamu...ameshakuelekeza pa kupata line yako kwa maelezo zaidi mfuate chemba muelewane zaidi...kuwa muelewa dogoMe Naitaji kuonana na wewe niliyekuamini na kukutumia pesa yangu na sio mtu mwingine
Sio shobo nakuelewesha...mcheki inbox au kwa namba yake ambayo unayo mtayamalizaACHA SHOBO NDUGU
Mimi ni mtu mzima na si mtoto, yeye amesema leo yuko KENYA na amenambia mimi kesho asubuhi niende kwa huyo jamaa, huoni hapo ananipiga maneno tu?
Yeye anasema ni dereva, NAOMBA ANITAJIE JINA ANALOJULIKANA PALE STEND
Doh..pole sana ila naamini atatekeleza kama jinsi alivyosema hapa kuwa na subiraHuyu hana niya ya kunipatia hiyo line sema anatafuta pa kutokea
View attachment 1123924View attachment 1123925
Mkuu mtu Hadi anafika huku tujue kuna shida.Kwani kuna ugumu gani kama ameshindwa kupata line so arudishe pesa? Pesa anaitaka na line hana huu siyo utapeli?Doh..pole sana ila naamini atatekeleza kama jinsi alivyosema hapa kuwa na subira
Noted mkuuMuache uboya kuna mambo munawekana sawa tu sio kuwatoa tu watu hovyo
Huyu chalii aliwahi kujoin kwenye group langu akaleta mambo za kitapeli nikamtoa nduki mapema sana.ABUU kua makini sana na huyo MTU tarifa zake sio nzuri sana.Huyu hana niya ya kunipatia hiyo line sema anatafuta pa kutokea
View attachment 1123924View attachment 1123925