Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi kuna yeyote anaefahamu lolote kuhusu free bet ya mkeka bet?
 
Hapa nlipo niko kenya na kesho ntakua musoma line ninayo nataka aondoe maneno yake tu aliyonikosea adabu maana naamini kwa umri ni kama mtoto wng sina cha zaidi
Right. Lakini TUHUMA alizokutuhumu ni za kweli au ni za uwongo? Sio vizuri kumzungusha mwenzako kama pia. Kama una uwezo wa kumletea hiyo laini mwambie kinagaubaga kwa mujibu wa makubaliano yenu. Sio mnakubalina hivi halafu wewe unafanya vile na unajua mtu kasafiri kutoka mbali kufuata laini yake. Sio vizuri. Hata kama ungekuwa wewe lazima ungekasirika. Anyway, mpeni jamaa laini yake kama imeshindikana, basi. Sio ugomvi.
 
ase jamaa una maneno ya busara .nahs una 25 above.ujue ss knachotukwamisha tuna utoto mwng
 
Wakuu kwema?? Naomba mdau mmoja alete au anipe elimu nzuri jinsi ya kubet kwenye basketball au tenis. Natamani nijaribu huko napo nipaone pakoje! Muhindi anatupiga sana kwenye football aise.yaani leo nimepitia history betting yangu mpunga ulio liwa na muhindi ni mwingi sana! Please lets share the skills!
 
Wazee wenzangu, south korea vs iran itakuwaje? Make zile odds 2 za south korea zinanitamanisha!
 
We ni mshenzi una tabia mbaya na nimegundua una upendeleo yaani huna hata huruma...

Nimeamka asubuhi na msimbaz wangu ukanishawishi nikupe 7000\= eti utanipa milioni badae, nikakupa nikajibana na elf3 yangu ikatosha chai na lunch, ckuwa na shaka dinner juu yako lakini ukaamua kunilaza njaa..

Nasema tena SIKUPENDI huna ahadi za kweli nimegundua we ndo ulomfanya jokery aje jukwaani kuomba 2000\= ya kula japo sina hakika km Mmasai Dada alimsaidia

Km alimsaidia naomba na mm anisaidie mhindi kansaliti nimegundua hayuko fair

Uzi tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…