Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Serikali itakaa na bodi ya michezo ya kubahatisha, kuja na utaratibu utakaodhibiti ujanja ujanja kwenye michezo ya kubahatisha
Eeeh bwana nimesikia..lakini inaonekana wamegundua Kuna pesa nyingi Sana kwenye kamari...kwahiyo wameona Bora watengeneze mazingira bora ya kupata kodi yao..lakini na sisi wateja "tuliwe" kihalali.
 
Eeeh bwana nimesikia..lakini inaonekana wamegundua Kuna pesa nyingi Sana kwenye kamari...kwahiyo wameona Bora watengeneze mazingira bora ya kupata kodi yao..lakini na sisi wateja "tuliwe" kihalali.
Ukiwa 1xbet haya mambo haya kuhusu
 
Naona Tanzania tumekaza kipindi Cha Kwanza..ngoja tuone Kama kutakua hakuna goli kabisa
 
Aaah washanichania...nilitegemea magoli first half naona yamegoma..hii game ilitakiwa first half waongoze Tanzania then full time washinde Misri..yaani 2/1 naona imegoma..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…