Maujohnsimba
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 252
- 228
Upo vizuri.. Nyingine tuendelee kutembea nazo
hongera kamanda naona upepo uko vizuri leo lets go
Mkuu na kuombea heri ila sasa usisahau uchawi was kanji maana hiyo roundi 6 ndo kanji Ana Fanya takeOdds 5.3 zimeokolewa kwenye chaki dk 1 kabla refa hajamaliza mchezo.
Mpango mkakati kuelekea new season.
Natenga mtaji wa 20K ambao wote ntakuwa nauweka km Stake kwa odds 2.5
1st round
20K × 2.5odds= 50K
50k × 2.5odds= 125k
125k × 2.5odds=312.5k
312.5k × 2.5odds=781.2k
781.2k × 2.5odds=1.9+m
1.9+m × 2.5odds=4.8+m
Hapo kuanzia hiyo round ya 3 sijajua km Parimatch watakuwa wanakubali kiwango gani cha mwisho cha stake.
Cha kukumbuka kuwa hizo rounds zote haziendi consecutively kuna siku mechi zikijificha ndani ya kabati basi naacha but target ni kufikisha hizo round 6 kisha nifanye evaluation kisha nilete mrejesho km inawezekana au la.
Nikifanikiwa kuvuka hii hatua kwa namna yoyote nitahamia kampuni za kikubwa za huko duniani hasa hawa 888sports ambao tayari nimeshajiunga nao maana naamini huko hata ukitaka kuweka stake ya dola 20k unaweza.
Tuombeane heri tu wakuu.
Bet Responsibly.
View attachment 1127665View attachment 1127666
Loss odd ndogo ndo shida yake
Haya twenzetu mjombaLoss odd ndogo ndo shida yake
Jagpot betpawa na sportpesa ipi aina longolongo mkuu?Haya twenzetu mjomba
Mkuu jackpot kiufupi haina fomla kusema eti ipo ya uhakika hyo hapana labda zinatofautiana pakubwa sana.Jagpot betpawa na sportpesa ipi aina longolongo mkuu?