Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bussines naona inaendelea.

Nisaidieni ID. ya anayeuza Safaricom na bei coz nisije kupigwa hal hii ya Mh. n ngumu.
 
Sijasuka mkeka kitambo sasa nakomaa na single
Let me try
 
Hakunaga odd za ukweli mkuu
Wanabashiri tu kama wewe
Mkuu Mara kwa Mara unaelekeza kitu hiki na watu wamekuwa na imani haba eti kuna shua odds ngoja wapigwe ndo akili zitawakaa
 
Parimatch hata milion 100 unastake tu hawana shida.
 
Naomba Atokee Raia Mmoja Wadau Anielekeze Hapo Kwenye Duara Hizo Handicap Za Kweny Duara Zina Maana Gani.
 
Naomba Atokee Raia Mmoja Wadau Anielekeze Hapo Kwenye Duara Hizo Handicap Za Kweny Duara Zina Maana Gani. View attachment 1129502
Hio ni handcap. Mfano hio 2(-0.5)

Ina maana away ashinde goli mbili juu au zaidi juu ya home team. Yani matokeo yawe hivi 1:3.

Hapo ameshinda mana. 3-0.5= 2 kwahio yupo juu goli moja.

Ikiwa 1:2 Hio ni droo.

The same na kule kwenye +
 
Asante Mkuu Je Hii Ina Apply Hata Kwenye Basket?
Kama ODDs Zinavyoonyesha?
Hio ni handcap. Mfano hio 2(-0.5)

Ina maana away ashinde goli mbili juu au zaidi juu ya home team. Yani matokeo yawe hivi 1:3.

Hapo ameshinda mana. 3-0.5= 2 kwahio yupo juu goli moja.

Ikiwa 1:2 Hio ni droo.

The same na kule kwenye +
 
Parimatch hata milion 100 unastake tu hawana shida.
Shukrani sana mkuu kwa kunijuza siwajui kiundani ila nawakubali kwenye maswala ya kudeposit na kuwithdraw aisee yaani withdrawing ni suala la sekunde tu mpunga ushaingia kwa mpesa tatizo lao ni ndagu(uchawi)wao ni mkali sana yaani kuwala kiukweli wagumu mno ila ngoja tupambane nao tu mpaka kieleweke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…