Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tupe maujanja
odds 1.6-2...sizidishi odds mbili kama alivosema mwamba apo juu...unaweka mzego...kwa mtaji wa 200000..kwa siku kuingiza 40k ni kitu cha kugusa tu...pia ni biashara ambayo haiathiriwi na sera za serikali..lakini hata ikitokea vita we unaingiza hela tu...ofisi yako ni simu yenye bando tu.....unaeza ukaenda nchi yoyote na ofisi yako mkononi,,you are your own boss homie
 
Sijakuelewa unaposea kuwa huzidishi odds mbili....u maananisha u dnt bet a game with odds over 2.00?
Na je ni single bet au multiple bet?
 
Vijana mbona mnakuwa finance illiterate kiasi hicho?
Hivi mnajua nature ya pesa inavyofanya kazi chini ya hili jua?
Mazee nawasanua,shitukeni mnapoteza pesa na mda wenu bure.

Msiseme sikuwaambia.
sasa unafikiri ukiongea kingereza ndo utatutisha .kachezee matope..wahi kulala bosi wako anakusubiria kazini kesho mapemaa sanaaaa
 
Jamani tujitahidi kuwa wadadisi kwenye hizi njia za malipo ya mtandaoni aisee.

Mi nashukuru leo nimefanikiwa kudeposit kwa kutumia skrill wallet baada ya kurushiwa na Mwl RCT USD 10 nikapokea EURO8.40 kwa walet yangu ya skrill na kutopup 1xbet its a matter of seconds.

Hapa kesho naenda ku activate kadi yangu ya bank kisha nianze kazi,Tusippkuwa curious tutalia daily na mambo mengine ya online payments tutaendelea kuyaogopa kumbe ni vitu vya kawaida.
Mi niliuchukua ushauri wa mkuu mmoja humu nikamtafuta mwl tukakubaliana nikamtumia 25K kwa majaribio akanitumia hizo USD10 nikapata hizo euro.
 
Kweli uoga wako ndo umasikini wako nili cash out kwa kuhofia mechi moja tu ambayo ni chile vs uruguay kwa kuweka under 1.5 nikadhani haitotoka sasa imetoka nilikuwa nimpige 1.3m huyu
 
Nawaona 1xbet wakiwa wadhamin wa AFCON na Bendera yetu imeongezeka katika Nchi ambazo 1xbet wamefika so nadhani ni swala la muda tuu na tutapata njia sahii ya kuweka pesa zenu bila bitcoin wala safaricom
Tanzania nchi ya ajabu sana, yaani Wakenya wanafanya biashara kupitia Safaricom harafu siye siasa upuuzi tu kwenye uchumi!
 
Mkuu Shukran sana kwa hii Tip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…