huu lazima niufate dadeqWakuu leo tunaenda hiv kumchangia mhindView attachment 1138048
akikujibu nitag mzeeMsaada Kwa anayetumia 1xbet ukiwa unafungua account kwenye promo code unaweka nini
Nisaidie na Mimi kaka Leo nimkamue..maana ni kama wiki mbili hivi sipati kitu.Waliopita na hii saivi wanafurahiView attachment 1137954
Tatizo LA m bongo akliwa kila siku 5000 n kubwa kwake ila yeye kuweka odds zinazomfanya kila siku ale angalau 5000 anaona ndogo.dah! kumbe ngonja nianze kuweka stake kubwa
Nimezifungua kila betting ticketTatizo LA m bongo akliwa kila siku 5000 n kubwa kwake ila yeye kuweka odds zinazomfanya kila siku ale angalau 5000 anaona ndogo.
Kwake nikubwa katika kupoteza kuliko kuingiza
Safaricom rafiki. wakenya ni wagumu kutumia id zao kusajilia. Kuna mfumo WA huduma namba kule haupati line kirahisi. Hata ukiwa na international passports maswali ni mengi custom ili upate form ya kusajilia line yao.mkuu vipi kuusu laini ya safaricom napataje??
mkuu vipi kuusu laini ya safaricom napataje??Tatizo LA m bongo akliwa kila siku 5000 n kubwa kwake ila yeye kuweka odds zinazomfanya kila siku ale angalau 5000 anaona ndogo.
Kwake nikubwa katika kupoteza kuliko kuingiza
dah sasa tunapataje hakuna njia nyingine?Safaricom rafiki. wakenya ni wagumu kutumia id zao kusajilia. Kuna mfumo WA huduma namba kule haupati line kirahisi. Hata ukiwa na international passports maswali ni mengi custom ili upate form ya kusajilia line yao.
Kijiwe kimepooza kinoma...wadau wanachungulia wanasepa..
dah sasa tunapataje hakuna njia nyingine?
OkayFollow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/DEJwDKasSX0C8KslQ2Xzwv