Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mabaharia Kuna 15 hapa hakuna odds chache za kulalia? Nipate ya supu asbh..
 
Samahani mkuu hiyo skrill inaweza kutumia bank ya nmb?
Bila samahani ndugu yangu ktk mapambano,

Kwa mujibu wa maelekezo ya director wetu mwl RCT inawezekana ila mm binafsi bado sijaanza kuitumia kadi yangu ya NMB MASTER CARD ni leo ndo nimeenda bank kui activate na nimeambiwa inashughulikiwa itakuwa tayari baada ya masaa72 so nikianza kuitumia ndo naweza toa ushuhuda kamili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…