Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tumia sofa score kuangalia, kwasababu basket wana time stoppage nyingi, ukifuatilia kwenye saa huwezi kuelewa.
 
Tumia sofa score kuangalia, kwasababu basket wana time stoppage nyingi, ukifuatilia kwenye saa huwezi kuelewa.
Ok mkuu...

Basi nao ni wa magumashi... Maana utaenda sofa score utakuta 1st qota imekata... Ukija huku goma bado linasonga....

Unakuwa hauna uhakika wala makadirio aisee..... Ngoja nitafute betting apps inayoonesha muda unaenda vipi au qota zipo vipi...
 
1xbet wapo vizuri kwenye hiyo idara
 
Mkuu natumaini uko online naona msaada kwenye galsport kutoa pesa kwenye username nimeweka jina langu wamekataa je nitumie nini
mkuu, kama ni kutoa na ulipiga *148*53# ile si user name bali ni user id, nikimaanisha acc id yako inayoonekana juu kulia ukilog in kwenye account yako
 
Mybux mbona hawatumi voucher au Siku hizi ni matapel ? Nmennua Kwa voda na SMS voda wamerudisha ila hyo voucher masaa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…