Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi 1xbet tangu system za kuweka kwa mitandao ya simu kuzingua niliamua kujipa likizo kidogo..

Sasa nimerudi tena kwenye kampun yangu pendwa, sasa hiv naweka pesa kupitia Skrill.
Aisee 1xbet Ina ladha yake kama Kwenye Afcon unatembea na 10 min draw. Hatariii. Ila toka system ya kuweka na kutoa ivurugike mambo yakawa tafrani.
 
Mimi 1xbet tangu system za kuweka kwa mitandao ya simu kuzingua niliamua kujipa likizo kidogo..

Sasa nimerudi tena kwenye kampun yangu pendwa, sasa hiv naweka pesa kupitia Skrill.
mkuu, wanakata kiasi gani/asilimia ngapi kutoka bank kwenda skrill
 
Mimi 1xbet tangu system za kuweka kwa mitandao ya simu kuzingua niliamua kujipa likizo kidogo..

Sasa nimerudi tena kwenye kampun yangu pendwa, sasa hiv naweka pesa kupitia Skrill.
Mbona lain za safaricom zinapatikana na watu wengi tu wanazo kwa sasa na wala hazisumbui zinakuja zipo tayari kabsa kuna vitu vidogo tu vya kuverify then unatumia na haina makato wala nn,
 
Mbona lain za safaricom zinapatikana na watu wengi tu wanazo kwa sasa na wala hazisumbui zinakuja zipo tayari kabsa kuna vitu vidogo tu vya kuverify then unatumia na haina makato wala nn,
Inakera bhana..kila saa uende kweny calculator ili usijikute umeeka hela yote
 
Yaani Kuna wakati kuna game Kama zote lakini unakosa hata odds 1.0...kama kiinimacho aisee...Sasa fikiria Kama jana nani aliota labda aweke game za afcon zote draw au correct score zote 0:0..

Ukisema uweke game chache mfano jana unaweka elfu 50000 halafu unaipa Angola over 0.5 matokeo ndio Kama mlivyosikia...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Both team to score No
Game zote nne dadeq
 
Betting haina formula aisee inabadilika kulingana na tournament na game husika

Mfano ni hii afcon 3+ mpaka sasa nahisi ni game 2 kama sikosea ndio zimetoa

Mfano mwingine ni hizi club friend game Mimi huwa nikiona wagermany wapo uwanjani najua mara nyingi 3+ au 4+ ni uhakika japo mara chache huwa zinazingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…