Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Fireee...ni dhambi kwa mwekezaji kuachia fursa kama hii ikapita.AFCON ni hiiviii [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 1144273
Fireee...Bajeti ya wiki ya mafuta imepatikana.. View attachment 1144282
Hii ni komesha[emoji106][emoji106][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Afcon kwa upande wangu haisomeki kabisaaaaaa
Majanga tu
Mimi ni tembea nazo ila mzigo Mdogo nimewekaFireee...ni dhambi kwa mwekezaji kuachia fursa kama hii ikapita.
Umeona eeehBetpawa wamechezea kipigo mpaka wamepoteana hata pesa hawaachii.
Aiseee...watakuwa wanazitoa Kwa mafungu.Wamenipa now..
Mimi bado hawajanipa za muda huuAiseee...watakuwa wanazitoa Kwa mafungu.
Watazitoa tu, kipigo kikiwa kikali huwa wanachelewa kidogoMimi bado hawajanipa za muda huu
Pole mkuu hizi mechi za Afcon sio za kuzipa ushindi Wa dk, unaona kama morocco walivyopata goli mwishoni.Senegal Mbupu za mabwana zao yaani nimeipa game yao double chance(12) in 60mins cha ajabu anakuja kupata goli dk ya 63 yaani alisubiria mkeka upasuke kwanza,Euro 173 zimeota mapembe dah,Shikamoo betting.
Yaani huu mkeka nilikuwa naokolea kwenye chaki mechi karibu nne aisee,Pole mkuu hizi mechi za Afcon sio za kuzipa ushindi Wa dk, unaona kama morocco walivyopata goli mwishoni.