Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu Hawa 22bet1 vp wanadeposit kwa mitandao yetu ya kibongo?
HAPANA
Mi natumia Localbitcoins
Hawa ni jamaa moja na 1xbet wanafanana kila kitu
Bora kukomaa na 1xbet unaweza kutumia safaricom wenyewe hawana
 
Wadau hata mimi nina changamoto hiyo tangu jana mzigo haujafika Mpesa
Kama unatumia Betpawa ndio zao wakipigwa sana wanakuwa na ucheleweshaji kidogo kwenye malipo
Ila lazma watakuwekea ondoa hofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…