Hebu nielekeze kitu mkuu hapa labda me sielewi! Inawezekana ukatumia line ya safaricom kudeposit kwenye account inayosoma tzs??
fanya uchambuzi basi tudese mkuu
Aisee hii kwang leo ime kua ni heartbreak kwa kweli games nilikua nimesha zifanyia selection kwa muda ule na pesa ilikua tayar kweny acc kumbe siku submit huu mkeka nime ingia mzigon naangalia notification kweny sim naona yes mambo mazuri namsubir dundee na Salzuburg daaah stake iko vile vile sija place chochote apa natukana mwenyew tu nime pishana na gari la mshaharaKuna mechi za Austria kuwania kombe leo kuanzia saa1
Over 2.5 zina toa saaana zichunglieni
Maelekezo please..Ndio inawezekana
Ipi???mkuu rudisha ile avatar
Green
MtongozeNje ya mada msaada wadau nikipiga 100 voda naongeaje na mhudumu
Hizo timu zipate penalty lakini zisifunge, yaani ziwe missed penalties.Samahani kwa usumbufu, hii ina maana gani? Mbona ina odds kibaoView attachment 1157716
Goma limeitika tusubirie mechi ya Senegal iishe tukutane kwa Wakala.
Nashukuru, niltaka kuingia mkengeHizo timu zipate penalty lakini zisifunge, yaani ziwe missed penalties.
Yaani mkenge Wa hali ya just [emoji23][emoji23][emoji23]Nashukuru, niltaka kuingia mkenge
WoooooN TUKUTANE KWA WAKALA.