Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ngoja niwe wa kwanza ku comment hapa.

Nimevutiwa na hii mkuu,maswali yangu

-Je ni kampuni gani zinaendesha hii mchezo.
-Je naweza kukaa na mcbezaji niliyemnunua kwa muda wowote au kuna limit ya muda?
-Je nikimnunua Ronaldo leo na kesho akacheza na kuperfom ivyo thamani yake ikashuka je nalazimishwa kumuuza?au naweza msubiria hata game ijayo?

Tafadhali maelezo please maana hii yaweza kuwa km bitcoin tu sio mbaya kuruka nayo tu maana ni fursa kama zilivyo fursa nyingine tu
 
Ukipata maelezo yaliyoshiba unishirikishe pls
 
Ukipata maelezo yaliyoshiba unishirikishe pls
Hahahaha sawa mkuu ngoja tumsubiri huyu mtoa mafunzo aje,watu tuvunje vibubu tusajili wachezaji ila sasa usiombe ukasajili mchezaji km Schevchenko,Torres walivyotuaga chelsea haki ya nani unaweza kuta thamani yao ikashuka mpaka 250 tsh sawa na bei ya embassy utakojoa dagaa wallah.
 
Hivi schevchenko yuko wapi
 
bachelor sugu kweli hii kitu iko kama btcoin
sio lazima mchezaji acheze hata kwenye hii transfer market ya wachezaji in effect mfano hizi rumors wachezaji wanagombaniwa na timu. mfano Wilfred zaha au pepe wa mchezaji wa lille thaman yao inaongezeka hii mambo unatakiwa uwe unafuatilia mpira sana na pia usipende. kuangalia masupastar sana maan. utaloose ela yako hii kampuni inaitwa football index
 

Attachments

  • 66816211_2720009081377297_1134490584463966208_o.jpg
    29.4 KB · Views: 23
Shukrani sana mkuu,aisee inabidi kuwa na machale sana je payment zake zinafanyikaje kudeposit na kuwithdraw?Hakuna uhuni wowote?Je kampuni ni moja tu inayoendesha hiyo kitu? troublemaker njoo usome mwalimu kaleta notes
 
Ndo hapo sasa kama vile unambetia man u alaf anapigwa na Huddersfield issue kubwa ni kudeal na young players tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…