[emoji120][emoji120][emoji120] kabsaaa, strategy & nidhamu ni mambo ya msingi sana mkuuInategemea na strategy za mtu mkuu
Limit ya mtaji
Limit ya stake
Limit ya kubet kwa siku
Nk
Kwa mujibu wa watatifi japaokua betting ni ubahatishaji lakini ili uwe kwenye nafasi nzuri ya kufanya vizuri ni lazima uwe na utaratibu wako na uuheshimu kweli
Vinginevyo utakua unadeposit kila siku iwapo utakua unabakiwa na mtaji mdogo sana kwasababu uliwithdraw mkwanja wote pindi unapokula tu
Asante kaka nilifata hii,,,,,,
Nimefanikiwa mkuu.Jaribu kutumia hii kutoa na kuweka hela Gal Sport *148*53# kwa Vodacom/tigo
Mhhh kisa nini mkuu,umewapiga sana??jamani betpawa kwangu kwenye simu pc kote haifunguki hawa ttcl eti wameniblock kuaccess web ya betpawa😳😳
Mkuu kwa voda au tigo?Nimefanikiwa mkuu.
Shukrani sana.
Pole mkuuMkuu me nimepigwa sh 156000 sina hamu kabisa,juzi kachana derry city win or draw,jana(mchana) yule wa ujeruman tips za profesa,56 elfu iliyobaki akamailizia Fc Basel.
Kwa bongo kampuni nzuri ni 2 tu,meridian bet online au premier bet online
Kutoka GSB kuja tigo pesa.Mkuu kwa voda au tigo?
Wakuu samahani mgeni na nimejarubu kubet mara kadhaa nakula mara na pigwa ila sijajua kampuni nzuri ya kubet natumia sana mbet kwenye simu yangu naomba ushauri coz naona mnapost vitu nyengine wala hakuna mbet wala baadhi ya timu mnazipost hazipo humu pls naombeni ushauri
Kaangalie Princess bet, Parimatch, Meridian.Wakuu samahani mgeni na nimejarubu kubet mara kadhaa nakula mara na pigwa ila sijajua kampuni nzuri ya kubet natumia sana mbet kwenye simu yangu naomba ushauri coz naona mnapost vitu nyengine wala hakuna mbet wala baadhi ya timu mnazipost hazipo humu pls naombeni ushauri
Wanayo me natoa kwa mpesa iko fastaNakubaliana na ww kabisa mkuu. GSB wako poa sana.
Kasoro pekee ni upande wa kutoa pesa kuja direct kwenye simu hawana, wakiweka hilo sawa watakuwa kimbilio la wengi.
Nimefanikiwa mkuu. Nilipata maelekezo hapo juu toka kwa mwanachama mmojaWanayo me natoa kwa mpesa iko fasta
Kuna kitu kuhusu betting kinanitokea
Iwe single au mkeka lazima point moja au goli moja litamiss.
Nafikiria kuacha maana nahisi kama inanikataa na napoteza alot kila siku.