Kuweka inakubali je! uliwahi kutoa kwa kutumia kadi ya benk? je unatumia benki gani? mimi niliwahi kutumia nbc M 8 yangu iligoma kabisa kutoka mpaka nikaicheza hovyo hovyo ikaishaNjia nzuri ya kudepost na kuwithdraw ni Visa na MasterCard haina longolongo, mi ndo naitumiaView attachment 1165728
Yaani siku ya jana na leo sitakaa nisahau..mechi nilizoziamini zimetoa matokeo nisiyoyategemea.Bado sijaamini eti Switzerland wametoka leo kapa kapa[emoji3][emoji3][emoji120] asante betting.
eti leo wanatoka 0-0Yaani siku ya jana na leo sitakaa nisahau..mechi nilizoziamini zimetoa matokeo nisiyoyategemea.
Nimepigwa kama mbwa koko[emoji16][emoji16][emoji16]
Inashangaza lakini ndo betting.. pengine na wao wamebeti!eti leo wanatoka 0-0View attachment 1165777
Mwaga madini hapaLigi za usiku mwingi ndio za pesa..mliopigwa poleni..nagonga kahawa hapa,napiga tizi mdogomdogo maana usingizi nao! Ukizingatia kesho kwenye utafutaji Kama kawa..
Kaka ni kuvizia tu inplay ndugu yangu..halafu unaweza kuta zikatoa over 2.5 za kutosha..wengi tumekariri hawafungani magoli mengi.Mwaga madini hapa
#Bet WoNTwende kazi hapo kutokomeza muhindi.View attachment 1165623
Tusubiri ligi tu hap
Mi natumia Standard chartered bank, hii haina longolongo hata kidogo mkuu, si muda mrefu nimetoka kuwithdraw na picha nimekuwekeaKuweka inakubali je! uliwahi kutoa kwa kutumia kadi ya benk? je unatumia benki gani? mimi niliwahi kutumia nbc M 8 yangu iligoma kabisa kutoka mpaka nikaicheza hovyo hovyo ikaisha