Mkuu kwani kule safaricom vp wamezingua nao ama?Wakuu hivi watu wa voda hawamo HUKU kweli watusaidie juu ya changamoto hii?
InboxMkuu kama haitojali naomba unipe no zako za WhattsApp tuwasiliane zaidi
Wanasubili leseni hawajapata, iliwaishia sasa naona wanabaniwa nazani ni mambo ya kodi hayo, imebaki njia ya kutoa ila kuweka haipoMkuu kwani kule safaricom vp wamezingua nao ama?
Nimenunua Bitcoin kwa localbitcon na nimefata maelekezo yote lakini bado inagoma tuUmenunua bitcoins wapi
Na zipo wallet ipi?
Kama ni localbiticoin mbona rahisi sana
Labda ume copy vibaya address ya 1xbet
Kumbuka una copy address 1xbet na kujakui paste wallet yako
Maelekezo kamili pitia hii post https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/31404923
Hawa jamaa najaribu kudepost wanasema wametuma Otp cord ila haifiki ,sa ndo nakomea hapo, wanasema wametuma kwenye namba niliyosajilia benkView attachment 1166235
eNimenunua Bitcoin kwa localbitcon na nimefata maelekezo yote lakini bado inagoma tu
Vipi kuhusu kutumia bank card visa au maste card..inachukua muda gani?e
Haisumbui nenda copy. ile address yao I copy kwamakini usitumie Qr code nakama ni Mara. yako ya kwnz kudeposit had ifike 1xbet inaweza ikachukua hats masaa2
Vipi kuhusu kutumia bank card visa au maste card..inachukua muda gani?
Parimatch.com ya Ukraine sio ile parimatch.co.tz ya hapa kwetu
Sehemu ya kujaza nchi umeweka nchi gani? Maana tanzania hakuna.... Ila sehemu ya kujaza namba ya simu ipo code number ya Tanzania
Mkuu kwani kule safaricom vp wamezingua nao ama?
Proffesor uko wapi? Nina uhitaji mkubwa sana wa pesa.
Big up mkuu hii ya kwanza imetoa
Duuuuh. Ngoja niendelee kupambana kivyangu.Yupo likizo
Unataka odds ngappi nkutengenezee mdauDuuuuh. Ngoja niendelee kupambana kivyangu.