Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimenunua Bitcoin kwa localbitcon na nimefata maelekezo yote lakini bado inagoma tu
Zingatia haya
1, Kwenye page ya SEND BITICOINS jaza kibox cha Receiving address kwa kupaste address uliyokopi 1xbet

2 Jaza kiasi cha bitcoins kwenye kibox cha Amount in bitcoins ( hakikisha unajaza kiasi sahihi, utakiona hapo juu kimeandikwa "You can send up to" hiki ndio kiasi unaweza tuma
So copy hiko kiasi uki paste hapo kwenye Amount in bitcoins ili usikosee amount

Usijaze kitu kwenye MORE OPTIONS

Kuna mambo mawili nahisi yanakukwamisha
Moja labda unacopy vibaya address, au
Unaandika kiwango kisicho sahihi


Mwisho ikigoma labda utakua umenunua ndogo sana

Atleast anzia buku 5
 
Jamani Etto yuko wapi sisi TUKO ughaibuni hatujui 1xbet wameishia wapi na safaricom tupe update tafadhari
 
Una bet Total Under 3.5, hadi dk 90 bao 3
Refa anaongeza dk 10 na kutoa redcard
 
*2 ODDS*🎲

Bergen Nord - Sogndal II
Goal In Both Halves: Goals Scored In Both Halves - Yes
1.22

Carla Suarez Navarro - Magda Linette
Sets Handicap: Handiсap Carla Suarez Navarro (1.5) Sets
1.27

Pogon Szczecin - Arka Gdynia
Total 1: 0.5 Over
1.175

Steaua Bucuresti - Botosani
Total 1: 0.5 Over
1.13

*1XBET 👉🏼 6CAVH*✍🏽
 
asante kwa mdau aliyeshare website ya league lane. nimeifaham siku nne zilizopita, nimebet mikeka minne kwa msaada wa tips zao(kila siku mkeka mmoja)

1. siku ya kwanza nikalose odds 9( arsenal tula alichana) ...stake 3500

2. siku ya pili nikawin odds 8.5(stake 3500)

3. siku ya tatu nikawin odds 11(stake 3000)

4. siku ya 4 ambayo ni jana, nikalos odd 17(malmo alichana)... stake 3000.

5. ngoja tuone leo siku inaishaje... odd 9!
 
Na mimi nimeifatilia ni nzuri hiyo web
 
Je?ukiweka yes na timu uliyochagua ikashinda vipindi vyote inakuaje
 
Na mimi nimeifatilia ni nzuri hiyo web
jamaa kwa anlys wako vizuri, jana nimechangua game 4, moja ikiwa na odd 2.34, ya pili odd 2.11 ya tatu odd 2, ya nne ambaye alikuwa malmo odd 1.75 akanichania. (option; direct win)
 
mkuu ungeambatanisha hiyo web nifaidike nayo pia.

au hili nalo linahitaji connection?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…