Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna mtu anakielewa anachokifanya Zorya?? ... mpinzani wake ameshapigwa red card 2 ... about 20mins ago anashindwa kuongeza goli la pili.
 
Huyu ms***ge Zorya amenigalagaza vby mnoo kisa goli moja tu. Daaah, bloody betting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…