Odd1,8 au 2 hazimaanishi kuwa unashinda. Mpaka sasa nadaiwa na mpawa na sijui ntalipaje.Mkuu mtego mkubwa wa betting ni jinsi ya kupambanua odd, stake, lost na won
Tunajua sote hapa kwa habari ya number of bet basi bookie siku zote atashinda
Yaani ukichukua jumla ya bet zote ulizocheza ni lazima lost zitakua nyingi kuliko won
Isuue ni je ufanyeje ili win chache utakazo pata ziweze kuziba hasara na kuleta faida ya lose utakazopata?
Mkuu strategy yako naielewa sana ya odd 3+
Kati ya bet 10 unahitaji won kuanzia 3 tu kufuta hasara na kuanza kuhesabu faida
Ingawa pia naelewa ugumu wa kupata odd 3 sio mchezo pia, hapa sasa ndio ulipo mtihani
Kingine kinacho angusha wengi ni kutokua na kiwango cha stake ili kupangilia bet zako against odd
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera mkuu
tuoneshe basi hata mkeka wenyewe
Anza kufuatilia na sahihi ya Rais kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23]1xbet Tutaonana Wabaya kitu hicho Cha Exim Ni prepaid card View attachment 1173238
Anza kufuatilia na sahihi ya Rais kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hyo account currency inakuwa ipi? Us dollar au tsh?1xbet Tutaonana Wabaya kitu hicho Cha Exim Ni prepaid card View attachment 1173238
Hy
Hyo account currency inakuwa ipi? Us dollar au tsh?
Umetoa wapi mkuu hizi taarifa.. Au wakala nin..?? [emoji38][emoji38]Kwa Wale Wapenzi wa 1xbet,Kuanzia Ijumaa Ile MENU Ya MPESA Tz Inarudi Rasmi maana Najua Wengi Wengu Humu mmepata Tabu sana Kutuma Hela ktk A/c Ya 1xbet....ni Official Ijumaa, Napia Zinafunguliwa Shops zao za Kutoa Na Kuweka Hela Kwa kiwango chochote kile Unachotaka......1xbet Ndani Ya Tz Inawezekana.....Kaaeni Mkao wa Kupiga Hela za Kanji kwa kwenda Mbele.
Mkuu naona mbwembwe. Usije ukawaona wewe wabaya tu huko.1xbet Tutaonana Wabaya kitu hicho Cha Exim Ni prepaid card View attachment 1173238
Source mkuuKwa Wale Wapenzi wa 1xbet,Kuanzia Ijumaa Ile MENU Ya MPESA Tz Inarudi Rasmi maana Najua Wengi Wengu Humu mmepata Tabu sana Kutuma Hela ktk A/c Ya 1xbet....ni Official Ijumaa, Napia Zinafunguliwa Shops zao za Kutoa Na Kuweka Hela Kwa kiwango chochote kile Unachotaka......1xbet Ndani Ya Tz Inawezekana.....Kaaeni Mkao wa Kupiga Hela za Kanji kwa kwenda Mbele.
Kubet hakutaki tamaa... Sisi tunaoweka pesa ndefu odd ya 1.3 kwetu ndio dili kubwaMkuu naona mbwembwe. Usije ukawaona wewe wabaya tu huko.
Ooh my Gudness kama hii taarifa niyakwel bac nimwendo wakukusanya mtaji...yaani siyo kutafuta ela yakubet bali MTAJI WAKUINGIZA KIPATO KWA UCHAMBUZI YAKINIFU..Mungu asaidie iwe kweli jaman maana wengine tulishakata tamaa yakubet maana hakuna kampuni inayonipa option ya over 3 au 4 corners fulltime kama siyo hii 1xbet yani hakunaKwa Wale Wapenzi wa 1xbet,Kuanzia Ijumaa Ile MENU Ya MPESA Tz Inarudi Rasmi maana Najua Wengi Wengu Humu mmepata Tabu sana Kutuma Hela ktk A/c Ya 1xbet....ni Official Ijumaa, Napia Zinafunguliwa Shops zao za Kutoa Na Kuweka Hela Kwa kiwango chochote kile Unachotaka......1xbet Ndani Ya Tz Inawezekana.....Kaaeni Mkao wa Kupiga Hela za Kanji kwa kwenda Mbele.
oyaa acha utani basiKwa Wale Wapenzi wa 1xbet,Kuanzia Ijumaa Ile MENU Ya MPESA Tz Inarudi Rasmi maana Najua Wengi Wengu Humu mmepata Tabu sana Kutuma Hela ktk A/c Ya 1xbet....ni Official Ijumaa, Napia Zinafunguliwa Shops zao za Kutoa Na Kuweka Hela Kwa kiwango chochote kile Unachotaka......1xbet Ndani Ya Tz Inawezekana.....Kaaeni Mkao wa Kupiga Hela za Kanji kwa kwenda Mbele.