Kwa Wale Wapenzi wa 1xbet,Kuanzia Ijumaa Ile MENU Ya MPESA Tz Inarudi Rasmi maana Najua Wengi Wengu Humu mmepata Tabu sana Kutuma Hela ktk A/c Ya 1xbet....ni Official Ijumaa, Napia Zinafunguliwa Shops zao za Kutoa Na Kuweka Hela Kwa kiwango chochote kile Unachotaka......1xbet Ndani Ya Tz Inawezekana.....Kaaeni Mkao wa Kupiga Hela za Kanji kwa kwenda Mbele.
Kwa zile tips zako ndugu, unajitoa sana akili asee.THIS IS FOTIBOLI AISEEEEEE 210K CHALIIIII
Chini ya 5 hamna cha bonusBET PAWA sasa nao noma 20% kodi hawairudish kama BONUS cjui wameanza huu mchezo leo au kwangu tuView attachment 1173654
Yaa hata ukiweka zaidi ya 5 wanakata 20% kodi ambayo mwanzo walikuwa wanairudisha kama bonusChini ya 5 hamna cha bonus
Mzee kiufupi 1xbet ni matapeli, ukiwapiga hela hua hawatoi hata utumie njia gani!Ulitumia prepaid card ya Exim?
Wakishafungua ofisi dar ndio nitaanza kuwatumiaMzee kiufupi 1xbet ni matapeli, ukiwapiga hela hua hawatoi hata utumie njia gani!
Habari hii inaukweli?Kwa Wale Wapenzi wa 1xbet,Kuanzia Ijumaa Ile MENU Ya MPESA Tz Inarudi Rasmi maana Najua Wengi Wengu Humu mmepata Tabu sana Kutuma Hela ktk A/c Ya 1xbet....ni Official Ijumaa, Napia Zinafunguliwa Shops zao za Kutoa Na Kuweka Hela Kwa kiwango chochote kile Unachotaka......1xbet Ndani Ya Tz Inawezekana.....Kaaeni Mkao wa Kupiga Hela za Kanji kwa kwenda Mbele.
Weka hapa screenshots za mikeka ya 5mHiyo stake ni ndogo sana aisee. Huwa nastake mpaka 5m.
Utafaidika nn na hiyo mikeka?Weka hapa screenshots za mikeka ya 5m
Wakishafungua ofisi dar ndio nitaanza kuwatumia
Utafaidika nn na hiyo mikeka?
Pamekucha sasa....Wadau wenzangu wa kubeti kama unatamani umnyooshe mhindi hela ndefu kuanzia 400k au zaidi wikiendi hii kwa maelezo zaidi njoo whatsapp 0658015213 au normal call 0767955384,0675856398 kama unahisi kuna utapeli acha kama mtu atajiona yupo serious anataka kupiga hela tuwasiliane
N.B hii option ni kwa watu wa dar tu kwa wale mikoani wanatakiwa kuwa na visa prepaid card View attachment 1173676
Mzee piga hela mwenyewe uwe millionaire hauitaji wadau wakuunge mkono, we tupe mrejesho mnavyompiga muhindi.
Betpawa still the best.Nilikuwa nafanya ulinganisho (betpawa, parimath na mkeka bet) baada ya BETPAWA kuondoa BONUS ya kodi ili nione tofauti yao nikachukua England National league south game zote 11 nikweka dau la 5000 matokeo ni kama ifuatavyo
BETPAWA =66,350
PARIMATCH=62,362
MKEKA = 57,831
SO betpawa bado yupo juu kidogo