WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,375
- 3,140
Kwnye hii michezo anayeombwa ni mungu na sio Mungu....jiongeze kidogo....Unapomuomba Mungu mechi itoe over 1.5, kuna mwingine mechi hiyohiyo anaomba itoe under 1.5. Sasa hapo Mungu amsikilize Nani ?
Mkuu hii si parimatch ya Europe? Umetumia njia gani kudeposit na kuwithdraw??Gari la mshahara hili hapaView attachment 1175698
ANZA NA HII SGR KAKA https://www.betpawa.co.tz/share-372f4393aMazee unden treni la weekend aisee tunaweza kuanza na msimu vizuri tukampiga huyu kanji milioni za kutosha,
Duh ! Ukiweka 10K si Kanji anafukuza kazi wafanyakazi wake wote.ANZA NA HII SGR KAKA https://www.betpawa.co.tz/share-372f4393a
Nimecheka kishenzi unaweza kuedit kidogo ili wasifukdyzwe kazi mkuuDuh ! Ukiweka 10K si Kanji anafukuza kazi wafanyakazi wake wote.
Muache tu apigwe. Watokee watu kama 10 hivi wastake hiyo 10K naye apate machungu wanayopataga wadau baada ya kulose.Nimecheka kishenzi unaweza kuedit kidogo ili wasifukdyzwe kazi mkuu
Hapo kweli ataomba pooooh wakkistake 100 anawapa hisa 75%Muache tu apigwe. Watokee watu kama 10 hivi wastake hiyo 10K naye apate machungu wanayopataga wadau baada ya kulose.
Hapa nikawa nawaza, bahati nzuri betting hamna mwenye matokeo sahihi mpaka mechi ichezwe, vinginevyo wafanyakazi wangepelekwa jela kwa kuvujisha matokeo yahizo bets.Hapo kweli ataomba pooooh wakkistake 100 anawapa hisa 75%
Ha haaaaaUnapomuomba Mungu mechi itoe over 1.5, kuna mwingine mechi hiyohiyo anaomba itoe under 1.5. Sasa hapo Mungu amsikilize Nani ?
Unauaaaaaaa mzaziHapa nikawa nawaza, bahati nzuri betting hamna mwenye matokeo sahihi mpaka mechi ichezwe, vinginevyo wafanyakazi wangepelekwa jela kwa kuvujisha matokeo yahizo bets.
Mkuu, kuna treni la leo nalingoja. Majira ya saa nne usiku ntaruka. Kuwa tu tayari...Mkuu leta treni la esjiiara achana na wapiga lomon
Good job and thanks for sharing.Nimewasisitiza kuwa tunaipenda 1xbet mpaka TUNATAMANI kutumia SIMCARD za nchi jirani, wamesema hilo ni kosa LA udanganyifu. Tumeongea kwa lugha ya Rooney kwa hiyo mambo mengine nimeshindwa kuyadaka vizuri.
[emoji23][emoji23] ..Acha uzushi. Hamna kitu kama hicho. Mm ni mmoja wa staff wa 1xbet.
Hmmm..hii imepotishwa lini mkuu,maana kwny kamati moja ya caf ,skuhadthiwa,nlskia mwnywe kua wanajitahidi kusambaa bara zima,ss haijapta hta miezi 6 wanasepa,nn kmewakuta mpk mnataka kupiga u-turn mkuu?Acha kuwapa watu matumaini kwa kitu ambacho hakipo.
Kiufupi 1xbet itaondoa operation zake afrika nzima ifikapo November 2019