Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]betis - deportivo la coruna[/TD]
[TD]2-4 (odd: 1.64)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]rb leipzig - sc freiburg[/TD]
[TD]2-4 (odd: 1.60)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]stake: 500,000/-[/TD]
[TD]winning: 1,312,000/-[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Bet won,, huu ni mshahara wa mtu wa bachelor baada ya kodi na makato mengine kwenye taasisi ya fedha...make the best use of it. Congratulation
 
Mm zangu za jmoc; Madrid, rennes, benifica, Celtic, Aberdeen, dundalk, fc tokyo, Sanfrence hiroshima, basel, grasshopper, Guangzhou evengrade.
 
Amini nawambia, kesho kuna pesa......tulizeni vichwa, tafuta timu zako sita tu. kila la kheri wafanya biashara wenzangu
 
Raimundo hivi ule mpango wetu wa zamani umeishia wapi, ule wa kuweka dau kubwa kama hizi

Nasubiri NBA ianze mkuu, ila huu mtindo wa 2-4 game 2 unahamasisha kweli kweli.

Nilijaribu kunusa pua game za EuroBasket nikapigwa, nasubiri NBA mimi, angalau nikicheza mara 3 mpaka 4 kwa wiki itakuwa poa.
 
Raimundo
Mimi hizo basket sizijui hata, mie ni mpira tu odds 2 top

Hii michezo ni muhimu kucheza unachokijua aisee, mimi mpira najua ila naona upepo umenigomea kabisa kabisa.

Yaani ukiweka mkeka nikaucopy ujue tunaliwa, so ni bora niwacheck tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…