Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nawaelewa sana mkuu hawa wamenivutia na customer care yao yani wakikosea jambo ukawarukia hewani ni mpaka uridhike la sivyo kamdada kataendelea kubembeleza tu
Yaani kwa maelez yako tu chap nimejisajili piga bet fasta tu kudeposite kwa tunaopenda live basketball daa ligi hadi za mchangani aisee hii kweli the best
 
Vipi kuhusu michezo. Je, kuna michezo kama Dart, Snooker, Australia Rules, Rugby n.k
 
Dah! Mi napenda sana ninyeyekewe na hiz kampuni za kubet, yan ile kubembelezwa bembelezwa, mfn kama hivyo...sasa nifungue akaunti huko nibet hata kama wanakata kodi!


Sijui meridian watakuja tengamaa lini kweny network mana wananifanya natoka napokaa niende ofis zao town ilihali ningetumia tu simu!
 
Tuna jaribu tuna jaribu

Oostende -Club Brugge KV (2.5 OVER)

Nice -Amiens (Under 2.5 goal)

Watford win
 
Kampuni ganii HII na kama n kamdada amwezi nirushia INBOX namba zake ajaribu HATA 5odds aenjoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…