Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,007
- 1,600
atariAISEEEEE...View attachment 1177651
Ndugu yangu natumia visa card ya bancAbc bado inagoma.
Kila kitu hadi kubet siasa mpaka zile E-leagues
suka mkeka mkuuburnley win
Sema website yao sijaikubali nilikua najaribu kuweka live basket karibia mechi zote zikaniambia this event not availableHahahaa, nimewacheki pigabet hawa jamaa wako njema sana. Kilicho nifurahisha ni kuwepo kwa michezo yangu pendwa kama vile Handball, Australia Rules, Rugby, Baseball, American football, Snooker, Dart n.k yote iko ndani.
Iko slow pia kiaina..Sema website yao sijaikubali nilikua najaribu kuweka live basket karibia mechi zote zikaniambia this event not available
kafanyaje mkuuAugusburg sawa bwana
Ni sawa tu japo 1Xbet utamu wake unanogeshwa zaidi na kutokuwepo kwa kodiKwahiyo unataka kusema ni kama 1xbet?
Booooooommm....kama ulifata hii. Cheki salioTownship Rollers over 0.5
2.31 OddsView attachment 1177229
Utaniacha nije hukoKuna kodi ila mimi ndiko niliko kwa sababu hawachagui mechi hadi za mchangani zipo na zote unaweza kuzibetia kwa livebet
.
Kwenye ku_withdraw sasa wakichelewesha hata dk 10 tu wananirukia hewani na kuomba radhi, customer care yao ni the best huwezi piga simu isipokelewe, juzi kati hapa nilipiga bahati mbaya nikakata mwenyewe nikarukiwa hewani hahaha nimewapenda