Wakuu nahitaji maelezo kidogo juu ya hawa 1xbet
Naweza vipi kudeposit na kutoa
Du hawa premier kumbe ni mikwundwu kiasi hiki? Na pia wamewaajiri majitu maboya ambayo hayawezi hata kuwasaidia wateja kwa ukamilifu????
Natafuta jinsi ya kujitoa kwenye kampuni hii lakini nikihamia Meridian nao website yao ipo down kila siku. Kwa kweli hapa bongo suala la kubet online bado sana. Kumamae zao!!!!!!!!!!!!!
WOOOOOON TUKUTANE KWA WAKALA.[emoji39][emoji39][emoji39]
Kwani kuna ambaye hajapata Pesa huko?
Hii kama sio fixed [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakielewa kilichotokea hapa???View attachment 1178312
HahahaHii kama sio fixed [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani kuna ambaye hajapata Pesa huko?View attachment 1178332
Nackia na wao wametolewaNjia rahisi ni safaricom
Hata huyo itamgomea tu, Ile Step ya kuwatumia Kitambulisho haiepukiki.Nilitoa 20 tu ikagoma
Yaah wanayo mkongweKuuliza si ujinga, hiv I Parimatch wana App?
Point to note: hata unaweza kutoa hela chini ya Buku 20 hata ikiwa mara ya kwanza...na hata ukiwa hujatuma kitambulisho...huwa inakubali tu.Kwa urahisi ni baada ya kufungua account nenda kwenye security jaza ile form na uapload kitambulisho chako basi unakuwa umemaliza, yaan hiyo fanya hata kabla hujatupia mkeka wa kwanza au hata kabla hujadeposit kamilisha kabisa. Tatizo wengi wanakuwa hawajakamilisha usajili sasa ukitaka kutoa pesa mara ya kwanza ndio wanaanza kukudai hizo data