Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Habari za mapambano ya kusaka ugali wakuu?
Jamani naomba mniambie ni kampuni gani ya kubet isiyo na magumashi katika kuweka na kutoa hela...vilevile yenye options nyingi za kubetia
Princess bet......Parimatch....

Zicheki hizo Kampuni.
 
Kama ni kitambulisho chochote, kidogo ahueni ila wakitaka National Id mtihani
 
JILIPUE (STAKE WIFE)

BRAGA WIN
CSK M WIN
ZWOLLE OV2.5
HACKEN WIN OR DRW
BODO OV 1.5
 
.

*BN* Z5C2WMX8

Horsens - Midtjylland
2
1.77

FC BATE Borisov - FC Bgu Minsk
1 or Ov(2.5)
1.10

Odd
2.00
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…