Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tushajaribu sana hizo Mwana. Huu ni mchezo wa Bahati haijalishi unawekaje coz kuna vitu kwenye mechi huwezi kuvikontrol kama mchezaji kupigwa red kijinga then anakukost mkeka wako. Uzembe wa mchezaji uwanjani then goli linarudi dakika 90 au half time anapigwa 3 kwa hiyo ikiwa Bahati yako ni yako ukiwa wapigwa nanutapigwa kweli.
Mbona hapa mwenge SUPABETS watu wanakula milioni 6,8 nk na options za kawaida tu ......sema Bahati yake. Nani alijua barca angepigwa 4
 
Embu chek huo kama waona uk o pouwa tambaeni nao
 

Attachments

  • 1443251431859.jpg
    80.2 KB · Views: 205

kwan kuna makampun mangap bong ya betz
 
Wadau vip huu umekaaje?

Real Madrid
Barcelona
Chelsea
Man U
B. Munich
PSG
Ipswich
Birmingham

All win

hao wakubwa wa tatu wa mwanzo kwanza odds chache af yanazingua vile vile na huyo bayern simwamini kabisa
 
Wadau wa Mbet tupieni mikeka ya normal, both teams will score, na 45 minutes Mimi mhindi ananigaragaza sana sikuizi
 
nachagua timu 25 2-4 kutokea English championship,English ligue 1,English ligue 2 na English national...nazigawa timu tanotano zenye oddz kumikumi kila mkeka moja...ukipatia mmoja tu teari umekula....chkua dau ligawe mara tano tupia mzigo..mara kwanza ilikubali nkapatia miwili mingine kosakosa mechi moja mbili ngoja nipime wiki hii nayo

YA KWANZA
------------------------------------------
[5/5]
0080 26-09 14:30:00 MK Dons-Derby
Total Goals 2-4 1.59
0138 26-09 17:00:00 Brentford-Sheff Wed
Total Goals 2-4 1.59
0271 26-09 17:00:00 Cardiff-Charlton
Total Goals 2-4 1.61
1207 26-09 17:00:00 Ipswich-Bristol City
Total Goals 2-4 1.58
1143 26-09 17:00:00 Barnsley-Gillingham
Total Goals 2-4 1.58
------------------------------------------

YA 2
------------------------------------------
[5/5]
2405 26-09 17:00:00 Fleetwood Town-Port Va
Total Goals 2-4 1.59
2409 26-09 17:00:00 Shrewsbury-Blackpool
Total Goals 2-4 1.60
2410 26-09 17:00:00 Southend-Scunthorpe
Total Goals 2-4 1.60
2412 26-09 17:00:00 Walsall-Crewe
Total Goals 2-4 1.58
0016 26-09 17:00:00 Cambridge Utd-Stevenag
Total Goals 2-4 1.59
------------------------------------------

YA 3
------------------------------------------
[5/5]
0410 26-09 17:00:00 Crawley-Accrington
Total Goals 2-4 1.63
2414 26-09 17:00:00 Northampton-Leyton Ori
Total Goals 2-4 1.59
2416 26-09 17:00:00 Oxford Utd-Morecambe
Total Goals 2-4 1.58
2486 26-09 17:00:00 Braintree Town-Guisele
Total Goals 2-4 1.58
2487 26-09 17:00:00 Bromley-Chester
Total Goals 2-4 1.58
------------------------------------------

YA 4

------------------------------------------
[5/5]
2488 26-09 17:00:00 Cheltenham-Tranmere
Total Goals 2-4 1.58
2491 26-09 17:00:00 Southport-Grimsby
Total Goals 2-4 1.58
0130 26-09 17:00:00 Bolton-Brighton
Total Goals 2-4 1.61
2403 26-09 17:00:00 Bury-Coventry
Total Goals 2-4 1.59
2408 26-09 17:00:00 Sheff Utd-Doncaster
Total Goals 2-4 1.59
------------------------------------------

YA 5

------------------------------------------
[5/5]
0469 26-09 17:00:00 Barnet-Dag&Red
Total Goals 2-4 1.58
0067 26-09 17:00:00 Carlisle-Newport Count
Total Goals 2-4 1.58
0622 26-09 17:00:00 Luton-Wimbledon
Total Goals 2-4 1.59
1828 26-09 17:00:00 Barrow-Kidderminster
Total Goals 2-4 1.58
2485 26-09 17:00:00 Boreham Wood-Altrincha
Total Goals 2-4 1.58
------------------------------------------
 
Arsenal win
CSKA win
PSG win
Chelsea win
Man city win
Liverpool win
 
Stake unawekaga ngapi Kingz

Last week nlianza na 20..nlipatia mbili nkapata 80...40forty...this week nmeekq 30000....mhindi mtu mbaya isije ikawa ni upepo tu ulivuma week moja....ila mimi naiona safe
 
Last edited by a moderator:
Wadau nisaidieni nataka kuinstall app ya meridianbet na nimeshainstall ila nikitaka kuifungua inaniambia check your internet connection or region access restriction. Nifanyeje wadau ili niweke mkeka fasta?
 
Raimundo kuna FIBA africa women game saa 7 na nusu. Cheki kama inafaa kuwekeza under
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…