Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimeacha kubet meridian nitarudi siku wakiweza kufanya kama M-BET unakula leo kesho saa NNE unatumiwa hela yako ila huu ufala wanao fanya meridian unakaa siku tatu unapata hela yako wakiacha nitarudi bado nipo kwa muhindi na m-bet kwa sasa Jr
 
kuna mshikaj mzoefu meridian amenambia hii ya kutoa mpesa pesa huchelewa but kama unataka kuitoa kwa haraka n kupitia kwenye branch zao lakin watu tunaipenda meridian coz ina option nyingi na nzur
 
ila nimeona fb comment yao moja wanasema wanajaribu kufanya system iwe automatic kama kudeposit, yani iwe faster ndani ya dakika 1-5 uwe ushapata mzigo mpesa.
 
True, me naona kama mtu hela ni nyingi na una haraka nayo bora uende tu kwenye jumba lao utoe..
 
ila nimeona fb comment yao moja wanasema wanajaribu kufanya system iwe automatic kama kudeposit, yani iwe faster ndani ya dakika 1-5 uwe ushapata mzigo mpesa.

hyo itakua poa na watatupa moyo zaid wa kuwekeza mana hii ya cku tatu had nne inaboa knoma
 
Naumia sana kila nipitiapo jukwaa la michezo na kukuta upuuzi kama wa vijana kucheza mchezo wa bahati nasibu na kusahau majukumu ya kujenga taifa na kuwaza betting tu nyie vijana mnatia aibu sana
 
Bet ishakuwa xehem ya maisha kwa vjana weng bng wengne wameuza mal kbao wamefel shule koz bet n xum kal n zaid ya madawa nma xna ila bg up 2 kwa wale wanatxua kwn n wachache xna
 
Mkuu usiwachekee vijana wa betting wanatia aibu sana mda wote wanawaza betting tu wajifunze kua wabunifu wa kubuni miradi na sio kuwaza kamali
 
Naumia sana kila nipitiapo jukwaa la michezo na kukuta upuuzi kama wa vijana kucheza mchezo wa bahati nasibu na kusahau majukumu ya kujenga taifa na kuwaza betting tu nyie vijana mnatia aibu sana

Acha masuala ya kisengerema wewe. Majukwaa yako mengi unaweza enda siasani kupiga umbeya. By the way this is a free country n kaa ukijua kupitia sisi serikali yako inapata kodi ndefu. Nani aliyekuambia watu hatuna kazi za kufanya?

Akili huna kabisa bwe.ge sana wewe.
 
Naumia sana kila nipitiapo jukwaa la michezo na kukuta upuuzi kama wa vijana kucheza mchezo wa bahati nasibu na kusahau majukumu ya kujenga taifa na kuwaza betting tu nyie vijana mnatia aibu sana

huu n mchezo kama michezo mingne kikubwa n kujiwekea mipaka na kutenga mda wa kucheza na kama mtu anapata faida ya kufanyia mambo yke kwnn aache but kama kla day n mtu wa kuliwa acha maramoja
 
Leo nimegundua kua vijana wa betting wanatumia kilevi kichwani mwao

Matusi yako na dharau zako nishakusamehe cz najua viroba vibaya sana
 
Mkuu usiwachekee vijana wa betting wanatia aibu sana mda wote wanawaza betting tu wajifunze kua wabunifu wa kubuni miradi na sio kuwaza kamali

Pilipili usiyoila yakuwashia nini...watu wengine tumejenga kutokana na bet
 
Naumia sana kila nipitiapo jukwaa la michezo na kukuta upuuzi kama wa vijana kucheza mchezo wa bahati nasibu na kusahau majukumu ya kujenga taifa na kuwaza betting tu nyie vijana mnatia aibu sana

imekuaje kuaje mpaka ukafungua hii forum? itabidi pia uende bar zote ukikuta watu wanalewa waambie waache wakajenge taifa..pia huwezi kujua wangapi wana business zao humu au lah..usiwe judgmental.
 
Tafafali jamaniii...notification kibao najua mikeka kumbe ushauri nasaha tu.....kwani umelazimishwa betting...anza kuelimisha watumia dawa za kulevya na walevi kupindukia....nenda huko tafadhali
 
ndugu yangu ww tu hujui. betting ni kama biashara nyingne watu wenye bahat zao wanabahatika huku. nkiwa skul nliskia kuna jamaa anasoma kwa kubet. sasa nashangaa unasema et tujenge taifa??? kwan huku ni nn?? au ndugu umevamia hujui kinachoendelea
 
Naumia sana kila nipitiapo jukwaa la michezo na kukuta upuuzi kama wa vijana kucheza mchezo wa bahati nasibu na kusahau majukumu ya kujenga taifa na kuwaza betting tu nyie vijana mnatia aibu sana

Usidharau kazi za watu. Wengine hii ni part time job...tunafanya kwa mapenzi yetu.
 
Attachments

  • 1443352447446.jpg
    41.6 KB · Views: 172
  • 1443352575041.jpg
    42.4 KB · Views: 162
me najihis kama cna bahat unajua nimeanza mishe za mpira toka 2004 nkiwa shule ya msing darasa la3. naufaham mpira vilivo. nikaansa kubet 2013 mara ya kwanza nkaliwa. nkaacha 2014 shughul ikaanza nkawa nakula kidogo na kuliwa. dau la juu kula ni buku 9 kawaida yangu kuweka mkeka ni buku tuu. mara moja nimeweka buku2, msimu ulopita ligi ilivoisha nkakaa kuvuta nianze pumzi msimu huu sema ni mle mle tuu. dau la juu kula nu buku sita. inshort nshaliwa kama elf35 ivi. tatizo cjui nn ila najua mungu yupo iko cku tuu. huwa naogopa kuweka hela kubwa kutokana na uwezo na hali yangu. nlichogundua timo moja huwa inanimaliza, hata kama ni ya kushinda naliwa mf. city vs juve, ya barca, na madrid jana cjui kwa nn, naumia sana wakuu,. now ntakua naweka both team will score naona hii option iko poa kuliko ila ya 45, normal au handcap. nalia uuuuuuwi mungu njoo nione huruma jamn nategemea hii biashara, i love you Dear GOD plz usiniache mtoto wako. wadau nipen mautundu najihic kama cna bahat na hili game
 
Leo nimegundua kua vijana wa betting wanatumia kilevi kichwani mwao

Matusi yako na dharau zako nishakusamehe cz najua viroba vibaya sana

Wasamee wazazi wako kwa kukuzaa njiti. Mambo haya kuhusu kwa nini uyaingilie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…